Mazoezi ya jeshi La polisi Morogoro, ITV

UKUTA msilale bado mapambano.
 
Mnadhani wanatania? Jifanye chizi uingie barabarani hiyo siku uone.

Haiwezekani uchezee amani ya nchi yetu ambayo watu walimwaga damu na wengine kuhatarisha maisha yao ili ipatikane.
 
CCM bila dola hakuna kitu kabisa!! Kila siku CHADEMA wanatukanwa majukwaani lakini hawaendi kusemelea kokote, wao kusema tu kuwa wanafanya maandamano na mikutano basi imekuwa heka heka nchi nzima!!
 
Habar haina tija ,cjayaona hata jayo mazoezi yenyewe wanayosema magumu ITV na wenyewe cjui wamekosa habar cku hizi hata cwaelewag habar zao hazna hata mvuto,,,,mchakamchaka ndo maazoez magumu sasa,,,,!!!!!
 
Reactions: PNC
CCM bila dola hakuna kitu kabisa!! Kila siku CHADEMA wanatukanwa majukwaani lakini hawaendi kusemelea kokote, wao kusema kuwa anafanya maandamano na mikutano basi imekuwa heka heka nchi nzima!!
Lugha zenu umesahau?
 
Habar haina tija ,cjayaona hata jayo mazoezi yenyewe wanayosema magumu ITV na wenyewe cjui wamekosa habar cku hizi hata cwaelewag habar zao hazna hata mvuto,,,,mchakamchaka ndo maazoez magumu sasa,,,,!!!!!
Najua habari hii imekuvunja moyo, lakini ndo ukweli halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…