Mazoezi muhimu sana

Wakati mwingine sio hata kula, kuna pregnancy, hypothyroidsm na mengine mengi, unahumuka kama maandazi hauwezi kuamini.

Si wengi wako obese sababu ya hypothyroidism...pregnancy ni excuse tu ya kunenepa kwa wanawake, wamewezaje kina Vicky Beckham (ana watoto wa4 sijui na bado model), Heidi Klum (alimodel lingerie za Victoria secret miezi mi2 baada ya kujifungua), Beyounce, Kim Kardashian, Jennifer Lopez (mapacha)...hata hapa Bongo wapo watu wanawake wengi wenye watoto na bado si ma'tipwa tipwa'. Pregnancy na mishono ni excuse tu za kujustify uvivu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…