Mazoezi muhimu kwa mpenzi wako

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,445

Shosti mazoezi ni muhimu sana kwa afya yako.

Shosti mazoezi ni muhimu kuweka akili ikae sawa

Shosti ukipasha misuli hata mwenzio wala humsumbui

Shosti ukiwa fit una mpa raha mwenzako utagalauka kote kote.

Shostito mapenzi bila mazoezi ni sawa na bia bila chakula

Shostito utawezaje kumpeleka mwenzio puta bila kufanya mazoezi?

Shostito mazoezi yanasaidia kupunguza vitambi vya pombe
 
Yaani ukipasha sana unatengeneza mpaka figa yenye mvuto
 
hahahaha hommie bana, Baaelezeee bana hao....
vimbita sooo bana!
 
hapo kwenye red misuli itatoka sana halafu ndo kuanza kukimbiwa eti huyu demu kakomaa kama bondia

Unapasha kimtindo sio unapasha kama unataka kuwa baunsa wa kwenye disco
 
Shughuli za mwanamke kwa kutwa nzima ni mazoezi tosha,ukiongeza na mazoezi ya chakula cha usiku sidhani kama kuna umuhimu sana wa kufanya mazoezi.
 
Shughuli za mwanamke kwa kutwa nzima ni mazoezi tosha,ukiongeza na mazoezi ya chakula cha usiku sidhani kama kuna umuhimu sana wa kufanya mazoezi.
wanaoshinda kutwa nzima wanazunguka na viti oficn wana mazoezi gani? na akifika home hata fagio hagusi house maid yupo!
 
wanaoshinda kutwa nzima wanazunguka na viti oficn wana mazoezi gani? na akifika home hata fagio hagusi house maid yupo!

Hahahaha na wewe sasa unaua au ndo hawa akiguswa mbavu zinauma akifanya hivi ndo hivyo tena?
 
Back
Top Bottom