1. KUKIMBIA - KUKIMBIA
Ngao wanakimbia katika milima kupanda na kushuka, batabarani na katika viwanja. Zoezi hili humya shujaa wa ngao awe mvumilivu kama chuma, asichoke haraka katika wakati, mtu wepesi wa kumpa ushindi adui, wepesi wa kushambulia na kuzuia . Pia humfanya mtu awe na nguvu za mwili na stamina.
.
.SQUATS - KUCHUCHUMAA
.zoezi hili humfanya shujaa awe na mapigo mazito na imara kama chuma, pia, huimarisha miguu, mapaja, magoti. Na kuongeza kasi, ya mapigo ya kushtukkjza na stance.
.