Mazoezi au Adhabu?

Adhabu na aliyemuadhibu ana roho ngumu na mbaya sana
huenda tujue kosa ingawa hakuna justification kwa kweli

...........shosti upo............???
 
nahisi atakua amefumaniwa huyu
 
huyo jamaa sidhani kama alipona... he cant breathe kwa mkunjo huo na mizigo hiyo
 
Duh watu wana roho pana! Yaani wamegeuza mgongo wa jamaa tipa la kubebea matofali?
 
Dah! Hilo tizi nimelikubali, maana Kitambi kitanipitia mbali sana... tatizo kumpata wa kukufunga na kupakia tofali mgongoni ..
 
Hayo ni mazoezi ya kawaida ya kumaliza kitambi na kufanya eneo la mbele lionekane kama la nyuma....duuuh! huyu jamaa mkali. makomandoo wengi hawatamuweza akitoka hapo!
 
Ukiona mateso yamezidi, jua Neema inakaribia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…