MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,314
- 25,454
Kitambo mkwe ,kipindi hicho familia ikijua umejiunga huku wanahisi wewe ni mpinga serikali na wakati huo wazazi wenyewe wapo kwenye serikali hiyo hiyo ilikuwa tafrani sana kueleweka.Kumbe? Mi nimeona ikiwa hivyo😅
Hata bar? Mana mm nakunywa dukani kwa mangi Kila siku ni karibu na home ila Sasa shida ni omba ombaKuwa unaonekan kila siku sehm moja
Ningekua nime kukabidhi moyo basi ningesema unacheza na moyo wangu ,ila hivi unacheza na hisia zangu WallahKitambo mkwe ,kipindi hicho familia ikijua umejiunga huku wanahisi wewe ni mpinga serikali na wakati huo wazazi wenyewe wapo kwenye serikali hiyo hiyo ilikuwa tafrani sana kueleweka.
Nashukuru nimerudi salama mbeya mjini na mali yangu ninayo kabisa mkwe ,kazi sasa kwa Hata najua basi
Hahhaa hawajui wengine tuna stress zetu za maisha tu! Tumekuja kuzipunguza huku😅Kitambo mkwe ,kipindi hicho familia ikijua umejiunga huku wanahisi wewe ni mpinga serikali na wakati huo wazazi wenyewe wapo kwenye serikali hiyo hiyo ilikuwa tafrani sana kueleweka.
Ulikuwa wapi mkwe? Mmebebana bila kunitaarifu😆Nashukuru nimerudi salama mbeya mjini na mali yangu ninayo kabisa mkwe ,kazi sasa kwa Hata najua basi
Hapo kaka jifunze aina za mood ,siku nyingine nenda pale ukiwa na stori na wana na siku nyingine kuwa mkali hata mtu akikuangalia tu mfokee mpaka wakuogope hapo utakuwa umeuwa dharau automaticallyHata bar? Mana mm nakunywa dukani kwa mangi Kila siku ni karibu na home ila Sasa shida ni omba omba
Hakunaa Mwanaume huyu ataondoka na moyo wangu 🙌Pole sana dota🥹
Kwisha kwisha kwisha kabisa ,mimi sio wa mchezo mchezo mkwe 😀😀Hahhaa hawajui wengine tuna stress zetu za maisha tu! Tumekuja kuzipunguza huku😅
Ulikuwa wapi mkwe? Mmebebana bila kunitaarifu😆
Aibu yako hata wewe 😂😂Kwisha kwisha kwisha kabisa ,mimi sio wa mchezo mchezo mkwe 😀😀
Hii tabia ninayo, yaani sizoelekagi kwa haraka maana sieleweki kwakweli😅 unaweza ukaja unajichekesha nikakukataa ile ile😅Hapo kaka jifunze aina za mood ,siku nyingine nenda pale ukiwa na stori na wana na siku nyingine kuwa mkali hata mtu akikuangalia tu mfokee mpaka wakuogope hapo utakuwa umeuwa dharau automatically
Duhh bembeleza ndoa binti usikate tamaa,.. wazazi wako tusingevumilia usingefika hapa,Hakunaa Mwanaume huyu ataondoka na moyo wangu 🙌
Mbona binti bado analialia, mnanichezea eeh?😒Kwisha kwisha kwisha kabisa ,mimi sio wa mchezo mchezo mkwe 😀😀
Nimecheka kwa sauti 😂😂😂Duhh bembeleza ndoa binti usikate tamaa,.. wazazi wako tusingevumiliq usingefika hapa,
mkwe MENEMENE TEKERI NA PERESI ya kweli haya?🤔
Hapana mkwe mimi nilikuwa tunduma si umeyasikia ya huko sasa furaha yangu nikurudi na mali yake ila mwenzangu hataki kunipongeza kwa ushindi huo maana wengi zimepotea kabisaMbona binti bado anakialia, mnanichezea eeh?😒
Wewe hata kuniua unaweza 🙌🙌Hapana mkwe mimi nilikuwa tunduma si umeyasikia ya huko sasa furaha yangu nikurudi na mali yake ila mwenzangu hataki kunipongeza kwa ushindi huo maana wengi zimepotea kabisa
Kwakweli binti anatakiwa ajifunze uvumilivu na kumpongeza mume pale anapoishinda vita kubwa kama hii, kwani hatuoni wazazi wake tunazeeshana huku!😃Hapana mkwe mimi nilikuwa tunduma si umeyasikia ya huko sasa furaha yangu nikurudi na mali yake ila mwenzangu hataki kunipongeza kwa ushindi huo maana wengi zimepotea kabisa
Wala hapigwi ban mtu hapa! Kwanini mtu akutukane? Ndiomaana kuepusha usumbufu mwingi nmefunga zangu pm mmKwa leo nitanyamaza ila siku nikilewa🍺 aiseee🙌🙌 nipigwa ban ya maisha