Ha ha haaa sawa mkuu nadondoshee copy yake hapa boss.Hatua uliyopiga ni kubwa kuna watu ata hizo page 20 hawafiki maarifa uliyoyapata si haba ukilinganisha na mtu asiyesoma kabisa...soma kitabu cha Robin Sharma “ who will cry when you die” ndani kuna chapter kaipa jina “ dont finish the book”
Kitabu kizuri sana hiki.Hatua uliyopiga ni kubwa kuna watu ata hizo page 20 hawafiki maarifa uliyoyapata si haba ukilinganisha na mtu asiyesoma kabisa...soma kitabu cha Robin Sharma “ who will cry when you die” ndani kuna chapter kaipa jina “ dont finish the book”
Kusoma sana vitabu kuna kula sehemu kubwa ya ubongoKama mnavyojua kusoma vitabu mbalimbali kunaongeza uwezo wa kufikiri na kuupa ubongo chakula.
Nimekuwa natamani sna kuwa msomaji wa vitabu mbalimbali ila tatizo naweza kuanza nikapiga pages 20 hv then badae najikuta nashindwa kuendelea.
Nilitamani sana nikisome kitabu cha Mengi, I can I must I will ila nimeishia page ya 23.
Nina vitabu kibao hardcopy na vingine softcopy in pdf ila issue kusoma sasa ndio kimbembe.
Nipeni hints mnawezaje??
Hiyo sehem kubwa ambayo hutaki iliwe na vitabu waafrika tunaitumia kuwaza ngono, wizi, ufisadi na kuzaa watoto wengi.Kusoma sana vitabu kuna kula sehemu kubwa ya ubongo
Ha ha haaa sawa mkuu nadondoshee copy yake hapa boss.
Mkuu unakitabu kinachoitwa plato&platypas walk into the bar by Dr criss cyrilo au the letter to my son mwandishi nimemsahau
Vitabu naviuza kwa bei karibu na bure
Vya kiswahili havipo?Vitabu naviuza kwa bei karibu na bure
Nipe namba yako mkuu nikucheki. Nipo dar es salaamMkuu unapatikana wapi?
Kaa tayari vinakuja karibuni tuVya kiswahili havipo?
Nipe namba yako mkuu nikucheki. Nipo dar es salaam
Duuuh, 25000?Vitabu naviuza kwa bei karibu na bure
Kitabu cha Mengi kinaboa?Kama mnavyojua kusoma vitabu mbalimbali kunaongeza uwezo wa kufikiri na kuupa ubongo chakula.
Nimekuwa natamani sna kuwa msomaji wa vitabu mbalimbali ila tatizo naweza kuanza nikapiga pages 20 hv then badae najikuta nashindwa kuendelea.
Nilitamani sana nikisome kitabu cha Mengi, I can I must I will ila nimeishia page ya 23.
Nina vitabu kibao hardcopy na vingine softcopy in pdf ila issue kusoma sasa ndio kimbembe.
Nipeni hints mnawezaje??
Kitabu cha Mengi kinaboa?
Posta maeneo gani exactly??Duuuh, 25000?
Can't be serious.
Posta ni 20000 vyote kwa pamoja.
Toa direction mkuu waTanzania wapajue. WaTanzania tuna nature ya kukosoa na sio kutoa solution. Nipe direction nikanunueDuuuh, 25000?
Can't be serious.
Posta ni 20000 vyote kwa pamoja.