Mazoea mabaya: Ni kitu gani huwa unafanya kisicho sawa (nafsi inakusuta) na bado unaendelea kufanya?

Hizi spiriti za buku mbili mbili za kwenye chupa ya plastiki huwa nazidown grade sana ila nashangaa bado nikishiwa hela ya tungi naendelea kuzilamba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom