Mazoea mabaya: Ni kitu gani huwa unafanya kisicho sawa (nafsi inakusuta) na bado unaendelea kufanya?

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,726
10,020
Binadamu tunaishi kimazoea sana.

Katika maisha ya kawaida kabisa kuna yale mazoea fulani hivi tu watu huwa tunafanya ingawa ukikaa na kutafakari unaona mmmh.... Hapa ninachofanya sio sawa ila kwa sababu tu umezoea unaona ' aah acha tu nifanye hiki..labda nitakuja kurekebisha baadae.... Au aah mbona fresh tu...!?

Masela wengi kuna hii tabia ya kutotandika kitanda unapoamka asubuhi, hivi nini huwa shida??
 
Ganja.
 
Sasa mtu uko geto peke yako huna mgeni, uamke uanze kutandika kitanda na kunyoosha shuka,ili iweje
Mkuu, najua hutokagi gheto kama hauja vaa vizuri, msafi toka tuu mpaka chini. Why usafi huo usianzie ndani unakolala? Kutandika ni moja ya jambo muhimu ni vile tu kama nilivyosema kwenye topic ' mazoea mabaya'
 
Ya ndani ya ndani mkuu, kukiwa na mgeni kunatandikwa 😂
 
Sasa mtu uko geto peke yako huna mgeni, uamke uanze kutandika kitanda na kunyoosha shuka,ili iweje
Halafu hii sijui inatokeaje...

Mi sijui nataka kufa au halafu watu waanze kusema "siku za mwisho za uhai wake marehemu alikuwa anaonesha tabia ambazo si za kawaida..."

Yaani chige mimi siku hizi niwe ni mtu wa kurudia mlangoni eti kisa nimesahau kutandika kitandani... sio bure!

Au labda nitakuwa nagonga Jini!!
 
Noma sana mkuu

Similar Discussions

Back
Top Bottom