Aisee insecurity imekuwa kubwa sana. Yani saa hii hamna lililo jema. Mwingine hataki msomi au alieajiriwa.. kisa ataliwa ofisini na boss. Haya na huyu nae mke mama wa nyumbani, as long as kuna majirani, wapita njia, anaenda gengeni, sokoni, mpesa shop atakutana na li-gentlemeni tu na kama ana hulka mbaya ataliwa tu hata iweje. Hata useme umfundshe cherehani sijui apike vitymbua kama ni kuliwa ataliwa tu....
My take dont protect a woman because you cant. Na ndo maana umakini unahitajika katika kuchagua mke. Wanaume wa siku hizi mnapenda curves, sura, tackle, saa sita...wengne sijui mpambanaji tutakaetafuta wote..haya sasa vigezo vya ajabu. Kanisani hamuend, misikitini mnatafutwa..vgezo vya mke mwema mtavijua saa ngapi na wapi. Au ndo mitaani. Madhara ndo haya kila saa mnaogopa mnashusha thread jf. In short hamjui quality ya mke mwema na Mungu kawaficha.
Usitegemee kama wewe ni ndorobo, shwain flani ivi..ukapata mke mstaarabu, au mwenye maadili...hilo halipo. Be faithful, be good utapata kitu kizuri. Hata wazazi hufurahia na kuwapa kitu kizuri watoto wenye adabu. We busy kuchakata mchana na usiku unafikiri utapata mke mzuri.. Utafichwa tu ujiokotee kasukasu ukafie mbele....
#povulaomo#