Dr wa ukweli JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 900 Reaction score 274 Jun 29, 2011 #1 Kuna mdada anaomba ushauri, akikamua chuchu zinatoa maji ya njano ni tatizo gani? Age 23, hajawahi pata mimba.
Kuna mdada anaomba ushauri, akikamua chuchu zinatoa maji ya njano ni tatizo gani? Age 23, hajawahi pata mimba.
futikamba JF-Expert Member Joined Jan 18, 2010 Posts 243 Reaction score 13 Jun 29, 2011 #2 Hiyo ni mimba... mwambie akapime tena. Tehe tehe
Mayasa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 583 Reaction score 295 Jun 29, 2011 #3 Dr wa ukweli said: Kuna mdada anaomba ushauri, akikamua chuchu zinatoa maji ya njano ni tatizo gani? Age 23, hajawahi pata mimba. Click to expand... Ndio ameipata hiyo mimba sasa..
Dr wa ukweli said: Kuna mdada anaomba ushauri, akikamua chuchu zinatoa maji ya njano ni tatizo gani? Age 23, hajawahi pata mimba. Click to expand... Ndio ameipata hiyo mimba sasa..
Vin Diesel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 9,087 Reaction score 6,390 Jun 29, 2011 #4 Dr wa ukweli hongera sana umlenga shabaha.
Dr wa ukweli JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 900 Reaction score 274 Jun 29, 2011 Thread starter #5 Sangara said: Dr wa ukweli hongera sana umlenga shabaha. Click to expand... nimemshauri kesho akapime,
Sangara said: Dr wa ukweli hongera sana umlenga shabaha. Click to expand... nimemshauri kesho akapime,
S Sammc Member Joined May 24, 2011 Posts 18 Reaction score 3 Jun 29, 2011 #6 Just do investigation before anything like urine pregnancy test by using (UPT STRIP)
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,354 Jun 29, 2011 #7 Mwambie akaitoe hyo mimba haraka iwezekanavyo
Vin Diesel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 9,087 Reaction score 6,390 Jun 29, 2011 #8 Dr wa ukweli said: nimemshauri kesho akapime, Click to expand... kupima ni rahisi mkuu...hahitaji kwenda hosp
Dr wa ukweli said: nimemshauri kesho akapime, Click to expand... kupima ni rahisi mkuu...hahitaji kwenda hosp
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Jun 30, 2011 #9 mwambie anunue pregnant test fasta acheki
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Jun 30, 2011 #10 Senetor said: Mwambie akaitoe hyo mimba haraka iwezekanavyo Click to expand... Kwani kakwambia haitaki??
Senetor said: Mwambie akaitoe hyo mimba haraka iwezekanavyo Click to expand... Kwani kakwambia haitaki??
T Tata JF-Expert Member Joined Dec 3, 2009 Posts 5,799 Reaction score 2,733 Jun 30, 2011 #11 Dr wa ukweli said: Kuna mdada anaomba ushauri, akikamua chuchu zinatoa maji ya njano ni tatizo gani? Age 23, hajawahi pata mimba. Click to expand... Mimi nilidhani wewe Dr. wa Ukweli una majibu kumbe huna tofauti na Dr. Augustine Lyatonga Mrema.
Dr wa ukweli said: Kuna mdada anaomba ushauri, akikamua chuchu zinatoa maji ya njano ni tatizo gani? Age 23, hajawahi pata mimba. Click to expand... Mimi nilidhani wewe Dr. wa Ukweli una majibu kumbe huna tofauti na Dr. Augustine Lyatonga Mrema.
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 14,430 Reaction score 9,890 Jun 30, 2011 #12 Mimba au saratan
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 9,985 Reaction score 5,707 Jun 30, 2011 #13 ana saratani huyo......
Dr wa ukweli JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 900 Reaction score 274 Jun 30, 2011 Thread starter #14 Tata said: Mimi nilidhani wewe Dr. wa Ukweli una majibu kumbe huna tofauti na Dr. Augustine Lyatonga Mrema. Click to expand... mkuu kuna Dr wa aina nyingi, swala la mimba siyo coz hajasex muda yapata miezi mitatu sasa na period anapata kama kawaida
Tata said: Mimi nilidhani wewe Dr. wa Ukweli una majibu kumbe huna tofauti na Dr. Augustine Lyatonga Mrema. Click to expand... mkuu kuna Dr wa aina nyingi, swala la mimba siyo coz hajasex muda yapata miezi mitatu sasa na period anapata kama kawaida
A Aisha Adam JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 460 Reaction score 104 Jun 30, 2011 #15 inaweza kuwa mimba au utakuwa ugojwa, apime mimba kama hana ndo aende kumwona doctor
Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,252 Reaction score 11,648 Jun 30, 2011 #16 Dr wa ukweli said: mkuu kuna Dr wa aina nyingi, swala la mimba siyo coz hajasex muda yapata miezi mitatu sasa na period anapata kama kawaida Click to expand... Duhhh...kumbe wewe ni dokta kweli...Yaani hizo details zote unazo... Anza kuandaa mapokeza ya matunda ya kazi yenu (au yao kama wewe ni mshenga)!! Vinginevyo awaone MEWATA wayapapase papase kwanza!
Dr wa ukweli said: mkuu kuna Dr wa aina nyingi, swala la mimba siyo coz hajasex muda yapata miezi mitatu sasa na period anapata kama kawaida Click to expand... Duhhh...kumbe wewe ni dokta kweli...Yaani hizo details zote unazo... Anza kuandaa mapokeza ya matunda ya kazi yenu (au yao kama wewe ni mshenga)!! Vinginevyo awaone MEWATA wayapapase papase kwanza!
CAMARADERIE JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 4,419 Reaction score 1,929 Jun 30, 2011 #17 Title ya thread haiko sawa....sio MAZIWA ni MATITI au MANYONYO
Sokomoko JF-Expert Member Joined Mar 29, 2008 Posts 1,915 Reaction score 130 Jun 30, 2011 #18 Khaaa sasa mbona hiyo kawaida tu katika mabadiliko ya mwanadamu yeye alitaka yatoe unga?
Sokomoko JF-Expert Member Joined Mar 29, 2008 Posts 1,915 Reaction score 130 Jun 30, 2011 #19 CAMARADERIE said: Title ya thread haiko sawa....sio MAZIWA ni MATITI au MANYONYO Click to expand... Au matombo
CAMARADERIE said: Title ya thread haiko sawa....sio MAZIWA ni MATITI au MANYONYO Click to expand... Au matombo
Angel Msoffe JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 6,781 Reaction score 1,657 Jul 9, 2011 #20 mi nilishawah kuona dada mmoja anatatizo kama lako tn lilidumu kwa miaka 2, hakuwa mjamzito ni tatizo 2 na alitudia dawa "bramestom" kwa miez 2 na tatizo likaisha, nakushauri umwone daktar kwa uchunguzi zaid kabla hujatumia dawa yyt
mi nilishawah kuona dada mmoja anatatizo kama lako tn lilidumu kwa miaka 2, hakuwa mjamzito ni tatizo 2 na alitudia dawa "bramestom" kwa miez 2 na tatizo likaisha, nakushauri umwone daktar kwa uchunguzi zaid kabla hujatumia dawa yyt