Azam ajikite kwenye bidhaa ambazo si chakula maana kwa vyakula anaua watanzania taratibu na sumu kwenye vinywaji vyake hasa ile MALTA & AZAM COLA. Nafikiri ajikite kuanzisha treni ya mizigo au simenti na mabati HALAL. Ha ha ha.
hakuna kitu ambacho mwanadamu anatakiwa kuwa nacho makini kama chakula, lakini cha ajabu ni kwamba watanzania wengi tunaangalia bei na wingi{ujazo} huku tukisahau contents za iyo bidhaa, kwa mfano ile azam mango juice ni tamu hadi unadoubt kama kweli wametumia matunda halisi hata kidogo, na kuhusu maziwa yananalalamikiwa sana, yanasifiwa packaging tu. Natumai TFDA na tbs wanafanya kazi zao
ooops! huo ulinganifu wako tu unaonesha ukingo wako wa kufikiri ulipo. kama una facts za kuhakikishia watanzania kwamba hayo ni maziwa halisi weka hapa, siyo kuleta habari za mpira kwenye kila jambo!
100% ni maziwa ya Unga,pale kiwandani wanayachanganya na maji kisha wanayapack.niliyanywa once mpaka Leo siyataki tena.imagine ziwa la Unga toka China(lenye malamine) pluss siagi from Mumbai mix yake