Hodi tena jamvini, haya maziwa ya azam mapya ukishayafungua ukiweka kwenye friji yanaganda na huwezi kuyatumia tena. Ni tofauti na daily milk ambayo ata ukifingua ukatia kwenye friji yanabaki kuwa fresh.

hayo maziwa sidhani kama ni halisi, wana shamba wapi? mlishawahi kuona wafugaji wanapeleka maziwa pale?! maziwa yapo mengi sana Tanzania asee, siwezi kununua hayo mapoda.
Hodi tena jamvini, haya maziwa ya azam mapya ukishayafungua ukiweka kwenye friji yanaganda na huwezi kuyatumia tena. Ni tofauti na daily milk ambayo ata ukifingua ukatia kwenye friji yanabaki kuwa fresh.
Azam TV, Juis, Malt, Soda, Maziwa, Timu ya mpira, Chapati kwa muda mfupi hv inanipa shaka kama kweli alifanya utafiti wa soko na satisfaction za wateja.Soon utasikia LOW COST AZAM AIRLINE (Dar - Zanzibar)