hiyo ni bei kwa lita ama!!!
hiyo ni bei kwa lita ama!!!
Ni namba ya simu mkuu. Lita ni Tsh. 1500. Kama utachukua kuanzia lita 100 basi bei inapungua kidogo. Hii ni huduma ya kila siku.
Kama unataka kufanya biashara kubwa ya lita 100 na zaidi nunua kipimo cha kupima kiasi cha maji kwenye maziwa.