teh teh teh umenifurahisha kweli kweli, kumbe na wewe unalijua eenh! kuna mchezaji miaka ya 80 mwanzoni alifia pale Msimbazi akipelekwa Muhimbili sikumbuki jina , je Sembuli? hawa watu balaa, hata Mkwe wake Sunday manara pia walimtoa kafara tena alikuwa kama Albino fulani fulani hivi hawa Simba sio watu hata kidogo!