Mazishi ya Mabina-Ijumaa

CCM acheni kuzuga nendeni mkamzike kada wenu..au kwa vile sio dini yetu? Angekuwa dini yetu hata bendera zingepeperushwa robo mlingoti.
 
Siku yako inapofika daima umauti utakufika tu., wafisadi wengine wajifunze kuwa umauti hauwezi kuzuiwa kwa mkono wa mtutu.
 

anaaminika kuwa na vitalu vya madini hapa nchini.ni pigo kwa Andrew chenge na Advocate Mihayo
 
Mwache aende zake maana hawa watu wanajiona kuwa wao ndio wenye hatimiliki ya Nchi hii na pumzi yetu sisi wanyonge,na kaburi lake linatakiwa lichimbwe 20ft ili kusiwepo na uwezekano wakutoka kabisa huko,nyambafu.


Hahaha nimecheka sana. Mi naona likishachimbwa futi 20 limiminiwe zege maana haya majitu hayaaminiki linaweza toka hilo lijamaa
 
sifurahii kifo chake,ila ni utimilifu wa ile kauli ya KILA MBABE ANA MBABE WAKE
 
Kichefuchefu hili lijamaa, naomba mzungumzie mazishi ya yule kijana aliyepigwa risasi na gaidi huyu. Magaidi wapo CCM,ni yupi wa CDM amewahi kuua mtu? Mazuzu yatabaki CCM na ujinga wao.
 
Kwa kweli kifo hiki ni cha aibu sana,hebu angalia...jionee...

mtu wewe una majumba carpripoint, lakini hata kamlima ambako maskini wanapatia riziki unakataka? , Angalia sasa wametumia mawe ya mlima huo huo kukumaliza. chezea nguvu ya umma wewe
 
Hahaha nimecheka sana. Mi naona likishachimbwa futi 20 limiminiwe zege maana haya majitu hayaaminiki linaweza toka hilo lijamaa

Teh teh teh,Mkuu unadhani utani,hii mijitu inatakiwa ifukiwe 20ft aridhini na zege juu,nyambafu zao.
 
Hama kweli dunia ina mambo!!!! Hivi hata wale vijana wa jeshi la kijani walishindwa kupigania uhai wa regional chief commander?
Inabidi Kamanda Mkuu wa Jeshi la Kijani ajiuzulu ili kupisha uchunguzi,siamini kama mtu mkubwa kama huyu anaweza uawa na waponda kokoto wasio hata na elimu/ujuzi wa jeshi la mgambo wakati kuna watu wanalipwa kwa ajili ya kulinda Viongozi wa Chama cha Majani-CCM
Kunani Mwanza? Kumbe wasukuma nao wamekuwa 'WAKURYA' au ndo uvumilivu 0%? Kamanda Barlow alikufa ki utata utata hivi,leo tena Kamanda Mkuu wa Chama Cha Majani mkoa mzima anakufa kifo cha aibu kiasi hiki?
Hapana,wakubwa angalieni mlipojikwaa...........ni aibu kwa taifa.Hivi mnajielezaje kwa wakubwa wenzenu mnapokunywa kahawa,ni kweli kwamba intelijensia yetu imechoka kwa kiwango hiki? Hapana,sikubali hata kidogo,pana jambo kubwa zaidi ya hili tulionalo.
Ahsanteni
 
Huyo kuna haja gani ya kumzika? Hakuna option ingine?
 
CCM acheni kuzuga nendeni mkamzike kada wenu..au kwa vile sio dini yetu? Angekuwa dini yetu hata bendera zingepeperushwa robo mlingoti.

haha....taratibu watu watawaona wakabila,wadini, wakanda wa kweli..CCM wanayo kazi.Pengine nao walishiriki ili kumzima mali zake au kumsafishia njia fisadi.

Ila walichoanzisha kitakuwa trend ktk hatima ya viongozi wengi sana wa CCM.
 
Kaua naye kauwawa,mungu amuweke peponi mtoto aliyeuwawa kwa risasi,na huyo muuaji mungu amuandalie moto wa gesi
 
Na habari nilizozipata jioni ya leo Nzengo imegoma kushiriki mazishi na upande wa ccm wamegawanyika pande mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…