Mazishi aina hii yanatisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mazishi aina hii yanatisha

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Jan 5, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Kuna njia mbalimbali za mazishi kadiri ya mila, desturi, tamaduni na mapokeo, hali kadhalika imani kama:
  • kuichoma moto miili ya watu,
  • kuivunja miguu ili shimo la kuzika liwe dogo,
  • kuitumbukiza shimoni na jaza udongo juu yake,
  • kuhifadhi mwili kwenye sanduku kisha kuutumbukisa shimoni,
  • kuchimba shimo na kutengeneza chumba ambacho hakifikiwi na udongo,
  • Kuitelekeza porini na kuhama makazi kama baadhi ya jamii za wachungaji, nk.

  Wote hao na taratibu zao wanajali hadhi ya binadamu, na kwamba akishakata roho mwili ni udongo tu unaoweza kufanyiwa kwa namna ye yote ili kuufanya urudie udongo.


  "Kumbuka binadamu u mavumbi na utarudia kuwa mavumbi."
   
 2. L

  Luluka JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hata cjaelewa cha kutisha hapo ni nin
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Hayo majani ya nn kaburini?
   
 4. Redbutterfly

  Redbutterfly Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ??????
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  jeneza kufukiwa na majari
   
 6. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160

  Tamaduni na imani za watu, lakini kila mtu ni udongo na atarudia kuwa udongo
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Yana tisha kwa nani?

  The dead one doesn't care one way or the other
   
 8. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,151
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Anafukia Kitu gani hicho!
   
 9. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Yanatisha kwa wanaotumia sanduku kuzikia
   
 10. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hamna kinachotisha hapo...
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mara yangu ya kwanza kuona mwili mfu wa binadamu hukandamizwa na majani kwanza kisha kufuata udongo
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama kulikuwa na jeneza hapo.
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  You will all decompose at the end of the day
   
 14. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Kwani akizikwa na majani kuna tatizo gani?
   
 15. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Kwa sisi waislamu huwa hatuzikwi na jeneza wala sanduku, hapo mwili haujafunikwa na majani, kuna shimo jengine ndani ya hilo shimo kwa pembeni kabisa huitwa "MWANANDANI" kama hujawahi kusikia, mie ni mwanamke sijawahi kwenda makaburini, lakini tunasoma kwenye vitabu vya dini jinsi ya kuzika incase kama hakuna wanaume aula mwanamke kufanya hivo! kwa hiyo baada ya kuulaza mwili kwenye mwanandani , unafuata ubao! baada ya hapo ndio wengine wanaweka mchanga moja kwa moja na wengine ndio majani !

  HATA HIVO SIJAONA CHOCHOTE KINACHOTISHA HAPO !, kuna maziko yanayotisha kuliko ya KUCHOMA MOTO? na baada ya hapo watu hukusanya majivu na kuhama hama nayo popote waendapo!

  Wewe unanchekesha sana kajisemea FaizaFoxy! kinachokutisha hapo ni nini? au umeshaona maziko ya kiislamu basi unataka kuanza kutoa kashfa zako!
   
 16. b

  baba koku JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mi nafikiri suala la majani ni uzingatiaji wa mila za makabila . Labda wenzetu wa mkoa wa Tanga hususan wasambaa wanaweza kutusaidia kuelewa mantiki ya kuweka majani kwani makabila mengine wanaweka vitu vingi kama mikeka, nguo, vyombo vya nyumbani, saa, redio n.k.
   
 17. mujusi

  mujusi JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 237
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hapa nafikiri Wachangiaji wengi hajaelewa desturi za mazishi ya kutumia "mwana ndani" kwenye kaburi, sehemu ambayo huchimbwa zaidi ya ile level ya kaburi saizi ya mwili wa mtu na baadae kufunikwa kwa ubao ili mchanga usimfikie yule maiti na baadae juu huwekwa majani kablaya kuanza kufukia kaburi.
  Sio rahisi kuelewa kwa kuelezea kama hivi lakini kila siku tunazika na haikatazwi kwa mtu yeyote kuhudhuria na kuelewa zaidi.
   
 18. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  kwani waislamu wanazika na sanduku? si wanatumia moja tu wafu wote mnabebwa na hilo halafu linarudishwa msikitini?
   
 19. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mapokeo na desturi ya kabila langu huzika kwa kuchimba shimo refu, halafu ubavuni mwa shimo huchimba chumba kidogo kadiri ya ukubwa wa maiti kisha kufunika kwa mbao na majani, udongo unapofukiwa haufikii maiti. Lakini hapa inavyoonyeshwa ni kama maiti imewekwa katikati ya shimo na juu yake kuweka majani kisha kufukia udongo.
   
 20. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Alikuwa akitumia sana majani
  wakaona ni vyema wampe kidogo kama kumuenzi!
   
Loading...