ASHOK, ingekua musuba wahuni wangemdandia
naona una kiu watu 8
Hivi hayo ni majani ya Msuba au Mu-ashok?
Mwisho watavaa hadi ----- waipate fresh!
Hahahah yaani kwenye ki-TECNO changu nilikua naona kama MAJANI
Ni u.p.u.p.u utakuwasha usimpate wa ku kukuna.Nataka kuvaa hiyo.......ni ipi......?