Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,556
- 7,385
- Thread starter
-
- #21
Sawa endelea kufuata kile moyo unapenda hata mimi sio kwamba sijui kupenda mpaka basi ila kwa malezi nilio kulia na tabia yangu huwa nikichafukwa na cha fukwa kweliNinavyo vyote viwili
Sawa endelea kufuata kile moyo unapenda hata mimi sio kwamba sijui kupenda mpaka basi ila kwa malezi nilio kulia na tabia yangu huwa nikichafukwa na cha fukwa kweli
Unasema?[emoji23]
Kuna sehemu nimeandika kuwa umenichafua kweli?Enhee kuchafukwa huko nahusika vipi labda?
Bro,siku hiz hatupendan,Ila huwa tuna viziana,Unakula mzgo una pita hiv.
Kuna sehemu nimeandika kuwa umenichafua kweli?
Hata mimi nikiri nilipo wafahamu wasela Nondo nifikiri ni bangi ndio zanawasumbua kumbe huwa kuna waliopitia situation hiiKila shetani na mbuyu wake. Utakamatika tuu. WaPo waliojiita wasela nondo, wagumu lkn walilainika kama mkate kwenye chai. Mwanamke ana nguvu za ajabu
@Kapeace najua stress zipo kwa kila binadamu ila zakwangu huwa hazi ishi kirahisi hivyoPunguza stress wewe sie tuko hapa milele
Kupata papuchi za kibiashara zaidi tu kufurahisha mwili nasio hisia za mapenziKwa hiyo tukusaidieje?
Ok japo wa huku ni vigumu kujua kwa sababu ukimuona huwa wapo kama wasichana vileUkitaka uwe unakataliwa na single mother hata kabla wewe ujajua kama ni single mother basi uwe unavaa modo, miregezo, yaani jiweke katika ile hali yaujana... Wallah utokuja kutembee na single mother kamwe watakuwa wanajichuja wenyewe. Wengi wasingle mother wanawaamini sana wanaume wanaovaa suruali zakitambaa, wanaovaa suruali juu yakiuno, nasifa nyingine kama hizo. So nawewe utakuwa katika hilo kundi
Mwambie awe anajiamini.Kwa baby orijino
Muone kiongozi wako wa kirohoMkuu kupiga puchu siwezi wakati natafuta hera ya nini hawa viumbe huwa nikiongea nao kwenye simu huwa nacheka na drama zao sijui wakiwa wa kweli watapungukiwa nini maishani Dah nihisi kuwalaumu walio nileta kwenye hii dunia ninayo ishi mimi najihisi mimi sio kama binadamu wengine wenye kufikiria kupanga mipango ikawa sawia hongera zao
Mimi niliipuuzia na kuwa busy na shughuli zangu basi.Sawa mkuu labda uniambie wewe ulipokutana na hali hii ulichukua uwamuzi gani ulio kusaidia na kuendeleza malengo yako
Muone kiongozi wako wa kiroho
Kwahiyo mpaka leo uko bize na shughuli zako mkuuMimi niliipuuzia na kuwa busy na shughuli zangu basi.
Nipo kwenye mahusiano na maisha yanaendeleaKwahiyo mpaka leo uko bize na shughuli zako mkuu