Mazingira ya Lissu Bado tata Gerezani!

Mazingira ya Lissu Bado tata Gerezani!

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
19,147
Reaction score
43,079
Jana, tarehe 17 Machi 2026, nimemtembelea Tundu Lissu katika Gereza Kuu la Ukonga kwa ajili ya mazungumzo ya kisheria kuhusu mwenendo wa kesi yake.

Hata hivyo, mazungumzo kati yangu na yeye yalifanyika katika mazingira yasiyozingatia faragha inayotakiwa kisheria, kinyume na Kanuni za Usimamizi wa Magereza za mwaka 1968, pamoja na Kanuni za Msingi za Umoja wa Mataifa Kuhusu Wajibu wa Mawakili (UN Basic Principles on the Role of Lawyers) na Kanuni za Umoja wa Mataifa za Viwango vya Chini vya Usimamizi wa Wafungwa (Kanuni za Nelson Mandela) ambazo zinasisitiza kuwa mawasiliano kati ya wakili na mteja yanapaswa kuwa ya faragha.

Suala hili pia ameshalilalamikia mara kadhaa Mahakamani, ikiwemo wakati wa mwenendo wa ukabidhi na wakati wa usikilizwaji wa kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu. Tarehe 24 Februari 2025, wakati wa kuahirishwa kwa kesi hiyo, alikumbushia Mahakama kuhusu suala hili, ambapo kiongozi wa Jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo, Mhe. Jaji Nduguru, alieleza kuwa Mahakama imepokea hoja hiyo na kuwa hatua zingechukuliwa kupitia majaji wanaotembelea magereza.

Hata hivyo, Mhe. Lissu amesema hadi sasa hajaweza kutembelewa na jaji yeyote, hali inayoendelea kuathiri faragha ya mawasiliano kati yake na mawakili wake. Hivyo, ni muhimu hatua stahiki zichukuliwe ikiwa ni pamoja na majaji husika kumtembelea gerezani.

Paul Kisabo, 17 Machi 2025, Dar es Salaam.
 
Gentleman,
huyo mtuhumiwa ataendelea kushikiliwa na kuhifadhiwa katika gereza hilo sambmba na mamia ya watuhumiwa wengine ambao nao wanahifadhiwa katika gereza hilohilo.

Magereza zote za Tanzania ni salama na zina viwango na mazingira mazuri kwa watuhumiwa,
na zinasifa stahiki za kisheria, lakini pia zinakidhi viwango vyote vya kitaifa na kimataifa kushikilia na kuhifadhi watuhumiwa na wafungwa wa aina zote.

porojo na uzushi kama huu viwasaidie tu kupata tension na useless public sympathy
 
Bwabwa aka chizi karogwa tena
 
Takataka kabisa wewe
 
Hata hivyo, Mhe. Lissu amesema hadi sasa hajaweza kutembelewa na jaji yeyote, hali inayoendelea kuathiri faragha ya mawasiliano kati yake na mawakili wake. Hivyo, ni muhimu hatua stahiki zichukuliwe ikiwa ni pamoja na majaji husika kumtembelea gerezani.
Ngoja niwe 'mpumbavu' kwa muda huu mfupi kuamsha fikra za yeyote atakayesoma andiko hili:

Jaji Mkuu wa hao Majaji wenye wajibu wa kufuatilia huko gerezani yeye anasemaje?

Hakuna hata njia moja ya kumfanya aseme chochote juu ya jambo hili ili watu wajue?

Siyo kwamba kusema kwake kutaleta mabadiliko yoyote; lakini si angalau aseme, kama alivyokwishasema mengine ya mahakama yake kutofuata maelekezo?

Ni njia zipi zinazohitajika kumfikia na kumfanya alisemee swala hili. Kuna waandishi wowote wa habari wanaoweza kumtaka azungumze?

Huu ndio upumbavu ulioniingia akilini mwangu kwa muda huu.

Tumekuwa na tabia za kulalamika na kuzungukazunguka tu, hadi tunashindwa kujuwa ni sehemu /viongozi wapi tunaotakiwa kutafuta taarifa tunazotaka.

Hata kama huyo Jaji Mkuu hataki kusema; ni bora ifahamike hataki kusema ili watu wajue.
 
Gentleman,
huyo mtuhumiwa ataendelea kushikiliwa na kuhifadhiwa katika gereza hilo sambmba na mamia ya watuhumiwa wengine ambao nao wanahifadhiwa katika gereza hilohilo.

Magereza zote za Tanzania ni salama na zina viwango na mazingira mazuri kwa watuhumiwa,
na zinasifa stahiki za kisheria, lakini pia zinakidhi viwango vyote vya kitaifa na kimataifa kushikilia na kuhifadhi watuhumiwa na wafungwa wa aina zote.

porojo na uzushi kama huu viwasaidie tu kupata tension na useless public sympathy
Je wewe Ndugu yangu, ulisha wahi kushikiriwa huko gerezani? Kama bado, basi jua kwamba Zamu yako inakuja kwa kasi ya kimondo.
 
Mtu yuko Gerezani unataka aishi kama yuko Serena Hotel? Hayo ndo maisha ya Gerezani mpaka kesi yake itakapokwisha hayupo peke yake. Hana u special wowote he is Criminal kama walivyo wahalifu wengine atulie Gerezani hakunaga Siri tena afadhali hata Ukonga unaongea kwa simu kati kuna Hard plastic Keko unachanwa live tuu hapo hapo Kila mtu anasikia tatizo wengi mnaenda kule kwa lengo la kwenda kuchukua idea za kupanga uhalifu na maandamano yaani Jaji aache kusikiliza kesi za Watu wengine aende kumtembelea mhalifu mmoja? Halafu Ukonga Wako Notorious Criminals kama Lissu hata 20 hawafiki tofauti na Segerea na Keko.
 
Jana, tarehe 17 Machi 2026, nimemtembelea Tundu Lissu katika Gereza Kuu la Ukonga kwa ajili ya mazungumzo ya kisheria kuhusu mwenendo wa kesi yake.

Hata hivyo, mazungumzo kati yangu na yeye yalifanyika katika mazingira yasiyozingatia faragha inayotakiwa kisheria, kinyume na Kanuni za Usimamizi wa Magereza za mwaka 1968, pamoja na Kanuni za Msingi za Umoja wa Mataifa Kuhusu Wajibu wa Mawakili (UN Basic Principles on the Role of Lawyers) na Kanuni za Umoja wa Mataifa za Viwango vya Chini vya Usimamizi wa Wafungwa (Kanuni za Nelson Mandela) ambazo zinasisitiza kuwa mawasiliano kati ya wakili na mteja yanapaswa kuwa ya faragha.

Suala hili pia ameshalilalamikia mara kadhaa Mahakamani, ikiwemo wakati wa mwenendo wa ukabidhi na wakati wa usikilizwaji wa kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu. Tarehe 24 Februari 2025, wakati wa kuahirishwa kwa kesi hiyo, alikumbushia Mahakama kuhusu suala hili, ambapo kiongozi wa Jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo, Mhe. Jaji Nduguru, alieleza kuwa Mahakama imepokea hoja hiyo na kuwa hatua zingechukuliwa kupitia majaji wanaotembelea magereza.

Hata hivyo, Mhe. Lissu amesema hadi sasa hajaweza kutembelewa na jaji yeyote, hali inayoendelea kuathiri faragha ya mawasiliano kati yake na mawakili wake. Hivyo, ni muhimu hatua stahiki zichukuliwe ikiwa ni pamoja na majaji husika kumtembelea gerezani.

Paul Kisabo, 17 Machi 2025, Dar es Salaam.
Inasikitisha sana kwa kweli
 
Gentleman,
huyo mtuhumiwa ataendelea kushikiliwa na kuhifadhiwa katika gereza hilo sambmba na mamia ya watuhumiwa wengine ambao nao wanahifadhiwa katika gereza hilohilo.

Magereza zote za Tanzania ni salama na zina viwango na mazingira mazuri kwa watuhumiwa,
na zinasifa stahiki za kisheria, lakini pia zinakidhi viwango vyote vya kitaifa na kimataifa kushikilia na kuhifadhi watuhumiwa na wafungwa wa aina zote.

porojo na uzushi kama huu viwasaidie tu kupata tension na useless public sympathy
Majambazi yanasubiri kwenda ICC.
 
Dunia tunapita, kosa la Lissu ni Uenyekiti
 
Gentleman,
huyo mtuhumiwa ataendelea kushikiliwa na kuhifadhiwa katika gereza hilo sambmba na mamia ya watuhumiwa wengine ambao nao wanahifadhiwa katika gereza hilohilo.

Magereza zote za Tanzania ni salama na zina viwango na mazingira mazuri kwa watuhumiwa,
na zinasifa stahiki za kisheria, lakini pia zinakidhi viwango vyote vya kitaifa na kimataifa kushikilia na kuhifadhi watuhumiwa na wafungwa wa aina zote.

porojo na uzushi kama huu viwasaidie tu kupata tension na useless public sympathy
Mungu anawaona
 
Wauaji na wahaini wa kweli ndio wanao ongoza mhimili mwingine kwa woga wao baada ya kuiba kura na kufanya mauaji ya kikatili...so funny!
 
Vilaza siyo wa kuwapa madaraka hata kidogo. Siku zote silaha yao kuu ni hii ya kuwakandamiza na kuwanyamazisha watu wote wenye akili nyingi kuliko wao, pale wanapojitokeza hadharani kuwachallenge.
 
Gentleman,
huyo mtuhumiwa ataendelea kushikiliwa na kuhifadhiwa katika gereza hilo sambmba na mamia ya watuhumiwa wengine ambao nao wanahifadhiwa katika gereza hilohilo.

Magereza zote za Tanzania ni salama na zina viwango na mazingira mazuri kwa watuhumiwa,
na zinasifa stahiki za kisheria, lakini pia zinakidhi viwango vyote vya kitaifa na kimataifa kushikilia na kuhifadhi watuhumiwa na wafungwa wa aina zote.

porojo na uzushi kama huu viwasaidie tu kupata tension na useless public sympathy
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Mtu yuko Gerezani unataka aishi kama yuko Serena Hotel? Hayo ndo maisha ya Gerezani mpaka kesi yake itakapokwisha hayupo peke yake. Hana u special wowote he is Criminal kama walivyo wahalifu wengine atulie Gerezani hakunaga Siri tena afadhali hata Ukonga unaongea kwa simu kati kuna Hard plastic Keko unachanwa live tuu hapo hapo Kila mtu anasikia tatizo wengi mnaenda kule kwa lengo la kwenda kuchukua idea za kupanga uhalifu na maandamano yaani Jaji aache kusikiliza kesi za Watu wengine aende kumtembelea mhalifu mmoja? Halafu Ukonga Wako Notorious Criminals kama Lissu hata 20 hawafiki tofauti na Segerea na Keko.
Bado ni mtuhumiwa sio criminal, criminality ya mtu hudhibitishwa na mahakama.

As of now bado na ana haki kisheria , so ww sijui umetoka wapi unataka mtuhumiwa awe treated i worst ways , halaf mnata wananchi wafuate sheria?

Wanafuataje sheria wakati mamlaka hazifuati hizo sheria?
 
Remands wote in general Criminals tuu wanaitwa wahalifu wafungwa Convicts muwe mnaenda siku moja moja kutembelea kule kuna ubao pale tena uliandikwa na mkoloni mwenyewe wanabadilisha namba tuu
 
Back
Top Bottom