Mazingira haya ya Profesa Mark Mwandosya ndio uchumi wa kati wenyewe vijijini

Nimesoma huko, mahali ilipokua shule niliyokuwa nasoma enzi hizo High school ni jirani kabisa na kwake yani nimwendo wa dak 4 tu kufika kwake...kuna wakati maji yalikua yakikatika cshuleni tulikua tunaenda kuchota hapo kwake...Nakumbuka hata wale wapenda soka tulikua tukitoka kwenye michezo hapo kwake alikua na mabafu ya nje wanafunzi tumeoga hapo sana kipindi hicho bado yuko serikalini.....Hapo ni kijiji vha Lufilyo Kata ya Busokero..tukuyu huko ndani sana...
 
Maji yapo 24/7 alafu huko maji ni bureee maana system ya mabomba wameconnect kutoka milimani huko...maji ya kule huna haja ya kuchemsha ni ya baridiii na safi kabisa, tulikua tunakunywa bila kuchemsha...umeme upo huko miaka mingi nyuma
 
Na usafiri lazima uwepo
 

Mkuu siyo kila anayeishi maisha mazuri ni mpigaji.
 
huyo mzee hapo awape wakatoliki kama heka tatu ajenge na kakigango hapo apate majirani na Mungu amneemeshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…