Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,539
- 4,856
Siku zote upendo wa kweli huanzia kwa mwanaume na kisha kuangukia kwa mwanamke.
yapo mazingira mawili hatari sana kwa mwanaume kumpenda mwanamke na iwapo mwanaume atadandia haraka haraka ajue atakutana na maumimivu na pigo kali kuliko knock out,
1)MWANAMKE ANAPOKUWA NA SHIDA -mwanamke anapokuwa na shida au matatizo yoyote anakuwa ni mwepesi sana kuonyesha hisia zake bandia kwa mwanaume ambae atajitokeza kumuonyesha mapenzi.
mwanamke atajifanya mwenye mapenzi ya dhati kwa sababu tu ya kujua huenda mwanaume huyo atakuwa msaada wa kutatua shida yake.
2)MWANAMKE ANAPOACHWA-Licha ya uchungu atakao kuwa nao lakini mwanamke atakuwa tayari kufanya chochote na mwanaume mwingine ili kumkomoa mwanaume wa kwanza.
tujifunze kwamba,MAPENZI HAYAJI KAMA UPEPO AU KAMA WIMBI LA BAHARI,MAPENZI HUANZA KAMA MWENDO WA KONOKONO.