Wtz tu tupo nyuma..fursa ya mazingaumbwe ni kubwa sana,ukipata wana magician wa ukweli,ukiandaa show yako kila wkend sehemu kama mlimani cty,unaanda show ya kufa mtu,magic za ajabu basi utapata wateja sana,wkend watu wamechoka kwenda maclub wanataka vitu tofauti