Mazingaombwe: John Pombe Joseph Magufuli na Urais wapi na wapi!

Mag3 hoja yako ni sahihi kabisa.

Kuna usemi ambao chanzo chake ni lugha ya Yiddish (inayozungumzwa na Wayahudi wa Ulaya): "There are three kinds of people, those that make things happen, those that watch things happen and those who don't know what is happening".

Mataifa yote yaliyoendelea na yenye nguvu yalijiwekea utaratibu wa kuhakikisha wanapata viongozi wao kutoka kundi la kwanza. Ni bahati mbaya sana mgombea urais wa CCM Bw. Magufuli (kama ilivyo kwa JK) anatoka katika kundi la pili - he simply watches things happen; he cannot influence them!

Kwa mfano, anazungumzia mabadiliko kama bla bla tu ya kisiasa wakati kiuhalisia hawazi kuyaleta - he just doen't have what it takes to bring about CHANGE.

Mabadiliko yanaweza tu kuletwa na watu wa kundi la kwanza. Habari njema ni kwamba mgombea urais wa Ukawa Bw. Lowassa anatoka kundi hili.

sema tena
 
Magufuri hafai kua rais, hajajipanga na hakujipanga,hajui mmatatizo ya watanzania licha ya kua waziri kwa miaka 20,anajua hawezi kkua rais na anajua hana uwezo wa urais.

Mwenyewe na mlezi wake anaembeba mgongoni kila mahala bwana tezi dume juzi wakati wa kutambulishwa kwa wazee wa dar alisema hakua anajua kama anaweza kua rais,hakujua kama ana sifa za kua rais na anajua hatoshi kwenye urais.

Urais sio jambo la kufanyia majaribio au sehem ya kulia good time kama vijana wanavyosema, magafuri anataka kujaribu, haiwezekani. Tumejifunza kwammba kikwete ameufanya urais kua rasi na sehemu ya kula good time yeye na familia yake, haiwezekani kabisa

Magufuri ajiandae kurudi kwao chato akavue samaki.

Haya sasa ...... tusemeje?
 
Mag3 ww yaani chuki zako bado hujaziacha. Kwani ww ulitaka rais awe lowassa! Je yy hakuwa sehemu ya huo uozo tena kwa mamlaka kubwa. Anyways nakuona kama mshamba usiejua kujenga hoja based on fact.
 
Last edited by a moderator:
Halafu cha kushangaza

eti magufuli anauliza twiga wamepanda vipi ndege wakati mwenye kuhusika alikuwa naye hapo

Mleta mada hanalolote magu ni waziri wa wzara 1 na mbunge wa jimbo 1 hawezi hawezi kuingilia mambo ya kitaifa sheria inambana ieleeweni sheria na vifungu vyake sio mnawanga malofa nyie
 
Humu kuna watu kama washaisoma namba vile...Mfano zoezi kutafuta vipofu kama wewe sio kipofu unashtuka nini
 
Magufuri hafai kua rais, hajajipanga na hakujipanga,hajui mmatatizo ya watanzania licha ya kua waziri kwa miaka 20,anajua hawezi kkua rais na anajua hana uwezo wa urais.

Mwenyewe na mlezi wake anaembeba mgongoni kila mahala bwana tezi dume juzi wakati wa kutambulishwa kwa wazee wa dar alisema hakua anajua kama anaweza kua rais,hakujua kama ana sifa za kua rais na anajua hatoshi kwenye urais.

Urais sio jambo la kufanyia majaribio au sehem ya kulia good time kama vijana wanavyosema, magafuri anataka kujaribu, haiwezekani. Tumejifunza kwammba kikwete ameufanya urais kua rasi na sehemu ya kula good time yeye na familia yake, haiwezekani kabisa

Magufuri ajiandae kurudi kwao chato akavue samaki.

Vipi unaisoma namba jombaa...........!!!!!!!
 
Mimi Namuomba Tu Mag3 Aje Au Atuletee Mrejesho Kutokana Na Haya Anayoyafanya Magufuli,je Anastahili Kuwa Rais,ameonyesha Nia Ya Kuleta Mabadiliko,je Lowassa Mabadiliko Aliyokuwa Anayatangaza Na Haya Ya Magufuli,yapi Ni Ya Kweli??
 
Back
Top Bottom