Maziko ya babu yake mwanajf sipo

pakajimmy asante sana kwa kutuwakilisha ama kweli wewe mfano wa kuigwa.tunakushukuru sana kwa kuwakilisha JF na labda mkuu Sipo alizidiwa na shughuli za msiba akashindwa kukutana na mungu akijalia mtafanikiwa kukutana mjuane zaidi.


tunakushukuru tena kwa kutuwakilisha wana-JF kwenye msiba huu.
 
Fanya ya KiJF zaid basi Kiongozi!

Thanx alot Fidel180.Nawashukuru kwa kunipa moyo, nimeamini kuwa kumbe together we can move mountains here!...BBlessed!
Yes we can!

Nimejisikia raha saana, Utadhani mimi ndo mfiwa!
PJ endelea na moyo huo wa upendo, Mungu atakubariki, lakini hii yote ni kupitia JF.
Nami nimeguswa pia. PakaJimmy umefanya jambo la kipekee, shukrani kwa kutuwakilisha. Nimefurahia kusoma ujumbe uliotuletea kutoka huko Arusha kwa akina Sipo.

Sipo nimewahi kuwa na interaction naye hapa JF. Moja kati ya mambo ninayokumbuka ni siku nilipofungua JF na kukuta ujumbe wake alioniandikia kwenye PM. (Sikuwa mlengwa pekee, aliandika copy kwa member wengine wanne pia) ....Alinisabahi na kuelezea kwa ufupi maendeleo ya shughuli zake. Mwishowe aliandika hivi:
Nimesema nikujulie hali ndugu yangu
kazi njema na kila la kheri
best regards
Sipo
​
Kwangu huu ulikuwa ni ujumbe wa aina ya kipekee. Nimezoea kuandikiwa pale mtu anapokuwa na shida fulani. Ni mfano wa kuigwa kwa kweli - sina shaka kwamba Sipo ni mtu anayeishi vizuri na ndugu na jamaa.

Kwa mara nyingine ndugu Sipo, pole sana kwa msiba. Mungu akubariki sana!
 
Sasa mbona unatubagua? How about ambao tupo ughaibuni ???
Hatualikwi???? just joking but tukumbukwe vile vile..ahahhhaaa
Anyway ubarikiwe sana kwa moyo wako.....long live JF.
 
 
PJ ahsante sana kwa kuiwakilisha jamii nzima ya JF,Mungu akubariki.Na kwako SIPO pole sana kwa msiba huu, Mungu na akupe tumaini la uzima ule wa milele Amen.
 
mkuu PJ hakika unastahili pongezi, huu ni moyo halisi wa kitanzania, upendo na ushirikiano, hongera na pole kwa mwenzetu SIPO
 
Jamani nakosa cha kuandika kusema kweli nimefarijika sana. Ninachoweza kusema PakaJimmy Mungu akubariki sana kwa kufika, ilikuwa bahati mbaya tu hatukuonana. Nashukuru sana tena sana kwa WanaJF wote. Nimepungukiwa na maneno kabisa ya kusemea wema wa mioyo yenu. Be blessed all the days
 

Pole sana mkuu. Yote mipango ya Mungu. PJ ni shujaa wetu. Kuna thread ya PJ shujaa wa JF. Nenda ukatundikie nishani yako kule. Tuko pamoja mkuu
 
hongera sana kaka!
tunashukuru kwa kutualika.
karibu get tugedha yetu ya december tukufanyie maisha
 

Sipo,pole sana kwa kufiwa na babu yako,nadhani uliposoma thread ya PJ ulifarijika sana,PJ amefanya kitendo ambacho kimetugusa wote ni kitendo cha kiungwana na kinadhihirisha UPENDO,tunaungana nawe kusema Mungu ambariki sana.
 

Usijali Mkuu SIPO,
Tuko pamoja sana.
Karibu tena rasmi kwenye mapambano, YA KALE YAMEPITA, TAZAMA SASA NI MAPYA!
 
umefanya la maana sana pj. God bless you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…