Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia. Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki dunia leo majira ya saa 12...
Tanzania kwa sasa hakuna waandishi wa habari kuna waandishi wa mambo ya serikali hata Mzee wetu Wa katiba petekezwa aliwahi liona hili muda mrefu sana.
Tanzania kwa sasa hakuna waandishi wa habari kuna waandishi wa mambo ya serikali hata Mzee wetu Wa katiba petekezwa aliwahi liona hili muda mrefu sana.
Utotoni tulifurahia sana tulipokuwa tunaenda mapangoni kusikiliza sauti zetu kupitia mwangwi mapangoni. Yaani Ilikuwa ni kama vile mapango yanatugeza sauti zetu na kutusikilizisha kwa sauti ya juu zaidi. Siku hizi mapango yamepungua sana na mwangwi hakuna tena. Kuna wengine hapa wanaweza hata...