Car4Sale Mazda Atenza 2.3CC

Gerald

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
291
195
Mazda Atenza - for sale 9.5M (Tsh)
Registration Year/Month
- 2004/08
Odometer - Before 90,667km after check photos attached.
Displacement - 2.3CC

Serious buyer 0684811976

 

Attachments

 • WhatsApp Image 2017-12-04 at 1.59.00 PM.jpeg
  File size
  76.2 KB
  Views
  40
 • WhatsApp Image 2017-12-04 at 4.41.39 PM.jpeg
  File size
  58.7 KB
  Views
  39
 • WhatsApp Image 2017-12-04 at 4.43.33 PM.jpeg
  File size
  61 KB
  Views
  41
 • WhatsApp Image 2017-12-04 at 4.43.36 PM.jpeg
  File size
  74 KB
  Views
  36
 • WhatsApp Image 2017-12-04 at 5.22.25 PM.jpeg
  File size
  54.7 KB
  Views
  41
 • WhatsApp Image 2017-12-04 at 5.22.29 PM.jpeg
  File size
  70.9 KB
  Views
  44
 • WhatsApp Image 2017-12-04 at 5.22.30 PM.jpeg
  File size
  73.1 KB
  Views
  42
 • WhatsApp Image 2017-12-04 at 5.22.38 PM.jpeg
  File size
  75.3 KB
  Views
  41
 • WhatsApp Image 2017-12-04 at 5.22.40 PM.jpeg
  File size
  75.5 KB
  Views
  38
 • WhatsApp Image 2017-12-04 at 5.22.43 PM.jpeg
  File size
  54.8 KB
  Views
  40
 • WhatsApp Image 2017-12-04 at 5.22.44 PM.jpeg
  File size
  55.3 KB
  Views
  34

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,542
2,000
Mazda Atenza - for sale 9.5M (Tsh)
Registration Year/Month
- 2004/08
Odometer - Before 90,667km after check photos attached.
Displacement - 2.3CC

Serious buyer 0684811976
Mkuu nani amekushauri uuze kwa hiyo Bei??
 

Muhsiniina

JF-Expert Member
Oct 31, 2017
326
250
Mazda Atenza - for sale 9.5M (Tsh)
Registration Year/Month
- 2004/08
Odometer - Before 90,667km after check photos attached.
Displacement - 2.3CC

Serious buyer 0684811976

Dah gari tamu mpaka basi, hela tu ndio sina
 

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
5,813
2,000
Mazda atenza ni gari yenye muonekano mzuri sana(wagon na sedan) ila zikishafika km zaidi ya 100000 zinageuka na kuwa mimba, ndani ya miezi 9 utapata nazo tabu sana kabla hazijahufungua mapacha!
#ogopamazdaafter100000km#
 

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,075
2,000
Mazda atenza ni gari yenye muonekano mzuri sana(wagon na sedan) ila zikishafika km zaidi ya 100000 zinageuka na kuwa mimba, ndani ya miezi 9 utapata nazo tabu sana kabla hazijahufungua mapacha!
#ogopamazdaafter100000km#
Kwani hii ina rotor engine?
 

Gerald

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
291
195
Mazda atenza ni gari yenye muonekano mzuri sana(wagon na sedan) ila zikishafika km zaidi ya 100000 zinageuka na kuwa mimba, ndani ya miezi 9 utapata nazo tabu sana kabla hazijahufungua mapacha!
#ogopamazdaafter100000km#

Mawazo yako, Gari ni utunza na kama unaifanyia service kwa muda stahiki
 

Gerald

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
291
195
Kwa Brand hiyo,
Kwa Odometer hizo,
Kwa CC hizo,
Kwa Number hizo (Date of Importation) hiyo,
iyo bei iko juu Mkuu

Reasonable, zidhani hata kwa kipindi hicho ungeweza pata kwa hiyo bei kuanzia kununua na mpaka kuimiliki.
 

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,075
2,000
Kaka hizo technical kwangu ni ngumu kidogo kukujibu kiufasaha. Elewa condition ya gari ipo vizuri
Mimi sijapingana na wewe ila tu nilimuuliza mchangiaj kama gAr ina engine ya rotor maana matatizo aliyosa ni ya rotor engine na hayana tiva zaidi ya kufunga engne mpya
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom