Mazal Tov Yisrael – Congrats Israel

Mazal Tov Yisrael – Congrats Israel

Status
Not open for further replies.
Kesho Jumamosi tarehe 10 Iyyar 5771, yaani tarehe 14 Mei 2011, Israe inaadhimisha miaka 63 ya kuzaliwa kwake. Mnamo tarehe14 May 1948 (5 Iyyar 5708), Waziri Mkuu wa Israel David Ben Gurion alisoma Tangazo la Uhuru wa Israel lijulikanalo Israeli Declaration of Independence (Kiyahudi huitwa, Hakhrazat HaAtzma'ut). Ben Gurion alitangaza rasmi kuzaliwa kwa taifa la Israel, ikiwa ni miaka mitatu tu tangu kumalizika kwa vita kuu ya pili ya dunia mwaka 1945.

Israel ni nini na nani hasa? Israel ni nchi, na Israel ni watu. Lugha yao ni Kiyahudi (lugha ya zamani huitwa Kiebrania). Neno au jina Yahudi latokana na neon Yudah au Yehudah, ambalo ni moja ya makabili halisi 12 ya watoto wa Yakobo au Israel. Yuda ni kabila ambalo baadaye, mwanzoni mwa utawala wa mfalme Rehoboam (mtoto wa mfalme Suleman), nchi ya Israel ilipogawanyika sehemu mbili, ilikuja kuwa dola. Kaskazini waliitwa Israel (ndiko walikokaa kabila kumi) na kusini waliitwa Yuda (ndiko kabila 2 za Yuda na Benyamini walikaa). Makao makuu ya Kaskazini yalikuwa mji wa Samaria, makao makuu ya kusini yalikuwa Yerusalem. Waliendelea hivyo (kuwa falme mbili) kwa karne nyingi. Pia neno/jina Yahudi ni utambulisho wa dini yao rasmi.

Duniani humu ni nchi au jamii chache sana zenye historia iliyo hai ya kuishi mfululizo (yaani bila kuangamia au kupotea) na kuwa na utambulisho wao. Tena katika historia, hakuna nchi (watu) iliyowahi kuchukuliwa nje ya mipaka yao na kubaki na utambulisho wao na kisha baadaye kurudi katika nchi yao ya asili na kuweka tena mizizi na kuchipuka. Israel walichukuliwa utumwani Ashuru (Syria zamani), walichukuliwa utumwani Babeli (Iran/Iraq) na baadaye kwa takriban miaka 1,900 walitawanywa kila pembe ya dunia tangua mwaka 70 A.D. (kufuatia Warumi kubomoa hekalu lao) hadi 1948.

Hivyo napenda kugusia kwa uchache sana jambo moja tu wakati huu wa kusherehekea miaka 63 ya kuzaliwa Taifa la Israel. Umuhimu wa Yerusalem kwa Israel. Ijulikane hapa kuwa MUNGU alipoichagua Israel kuwa nchi yake kadhalika aliichagua Yerusalem kuwa mji wake na makao yake. Hakuna nchi makini isiyo na mji mkuu (kitovu cha nchi). Israel na Yerusalem ni kitu kimoja, havitenganishiki wala kugawanyika. Yerusalem ni mji mkuu wa Israel milele. Amen.

Israel ina historia ya ajabu, ya kushangaza, kusikitisha, ya kusisimua na ya kipekee. Nawiwa kuwake dondoo zifuatazo:-
i) Ndio nchi au watu (kama jamii) ambao MUNGU aliwachagua na kujitambulisha kwao na kufanya nao maagano. Kwamba Yeye ni MUNGU wao, na wao ni watu wake na amewapa eneo husika la ardhi kuwa milki yao.

ii) Katika vita kuu ya Pili ya dunia, takwimu zinaonyesha Wayahudi milioni sita waliauwa. Tukio hilo lilikuwa ni moja ya chachu ya kuharakisha mchakato wa uundwaji taifa la Israel, ili Wayahudi wasiendelee kuuawa, kuwa wakimbizi wasio na matumaini ya kuiona nchi ya babu na baba zao.

iii) Israel ni nchi ya kidemokrasia, na Serikali yake huongozwa na Waziri Mkuu anayetokana na chama kilichoshinda uchaguzi. Benyamini Netanyahu ni WM wa 32 wa Israel. Bunge la Israel linaitwa Knesset. Pia Israel ina rais ambaye ni kiungo kati jamii na serikali yao. Inaundwa na majimbo nane kisha mikoa, wilaya na vijiji. Tofauti na jirani zake, Israel haina hazina ya mafuta, gesi au madini.

iv) Israel imestawi sana katikati ya uadui mwingi na vita toka kwa majirani zake na hata mbali ya mipaka yao. Ndio dola la kidemokrasia ya kweli Mashariki ya Kati (MK). Ndio dola lenye uchumi imara zaidi MK, Ndio dola lililoendelea zaidi kisayansi, kielimu, kiviwanda na kilimo MK. Ndio dola lenye nguvu kijeshi MK.
v) Kuelekea Vita ya Siku Sita – 1967 nchi za Kiarabu chini ya Abdel Nasser wwa Misri zilitaka kufunga ukurasa wa “historia” na “aibu” ya kushindwa vita ya 1948, zilizopelekea kuzaliwa taifa la Israel.

vi) Vita ya Siku Sita – 1967, Kiyahudi “Mil'hement sheshet Hayamim”, ilianza tar 5 Juni 1967 na kumalizika tar 10 Juni 1967. Tukio moja kubwa katika vita hiyo ni Israel kuukomboa mji wa Yerusalem na kuurudisha katika milki yake.

vii) Uhalali, msingi na utashi wa kuwepo kwa Israel na watu wake hautegemei maazimio ya UN, au America au maoni ya mataifa. Uhalali na msingi wake ni maagano MUNGU wao aliyofanya nao. Ndio maana kila tunaposherehekea kuazaliwa kwa Israel pia huadhimisha uwezo wa neno “Waache watu wangu waende”, ambalo Musa alimwambia Farao wa Misri.

Tukitaka kujifunza tuna mengi tunaweza kujfunza kwa Israel kama watu na kama nchi.

MUNGU IBARIKI ISRAEL! MUNGU WALINDE WATU WAKO ISRAEL!
viva israel
 
'Atakaye ibariki isirael atabarikiwa na atakeye ilani amelaaniwa' hapa hakuna cha msimamo wa kati wala nini wewe kama uko kinyume na hawa jamaa imekula kwako na kama unawaunga mkono baraka zao utazishiriki.
Hakuna anayeweza kubishana na nguvu ya Mungu wa hawa jamaa, hapo ndo mwisho wa mambo yote ni bora mtu ukubali ya ishe.
 
Kweli imani ni zawadi na wala si kazi ya mikono ya mwanadamu hata adai malipo. Dunia nzima inajua ukisema Science wana wa Israel ndiyo vichwa; ukija biashara wao ndiyo wenyewe; technology wao ndiyo kichwa, imani tumeambiwa watakuwa wa mwisho ili sisi tupate rehema kwa wao kufanywa kutoamini etc etc bado mioyo ya wanadamu imekataa kabisa ku humble to the truth! Kweli shetani alipo corrupt human soul alimjaribu Mungu katika kazi yake ya uumbaji wa mwanadamu. Huwezi amini bila rehema ya Mungu moyo wa mwanadamu ulivyo na kiburi hawezi hatasiku moja kukiri kitu ambacho ni cha ki Mungu hata kama anaona kwa macho na kusikia kwa masikio yake na kugusa kwa mikono yake!

Kiburi cha mwanadamu kinakomeshwa na mauti tu na hapo ndipo wale wanaokubali kufa ili wazaliwe katika roho wanapokuwa tofauti na wale waliokataa kufa ili uasi wa shetani uwatoke. Kila mwanadamu ambaye amekataa kufa kwa kuamini hawezi bila nguvu ya roho mtakatifu ni mbishi sana lakini aliye dhaifu sana moyoni na kwakutojiamini hujikuta akitenda matendo yenye kudhuru wengine bila kujua kuwa roho itendayo kazi hizo haitoki kwa Mungu bali shetani. Huwa mtu asiye jiamini na kwakuwa hajiamini hujitutumua ili aonekane mwenye nguvu sana kumbe maskini moyoni amejaa uchungu, laana na uasi kiasi kwamba huishia kutafuta kisicho patikana kukidhi haja ya moyo wake. Hutafuta pesa akidhani itampa heshima akipata huona bado; hutafuta cheo akikipata huona haitoshi hutafuta enzi akiipata huona haitoshi na huishi akitafuta kile asichokijua hadi mauti kummeza kabisa kwa aibu na fadhaha nyingi.

Laiti mwanadamu angelijua kuna upande wa pili wa maisha yenye matumaini; maisha yenye kuridhisha na maisha yasiyo na usongo bali amani, furaha, ustahimilivu, uvumilivu, utu, wema, fadhili, kiasi, sound mind kwa kiswahili sijui tuiteje etc yapo hapa hapa duniani tena yanapatikana kwakuamua tu kufa kimwili na kuzaliwa kiroho. Kuishi kwa maongozi ya roho mtakatifu huku ukiiona dunia yote iko chini ya miguu yako wakati huo huo ukiwaona watu wote kuwa wenye kufaa na wenye thamani sana kiasi kwamba kila unayemwona anakuchangamsha roho yako na kufanya dunia iwe sehemu yenye raha ya ajabu. Ukiona peasa kuwa ni kifaa cha kukutumikia wewe na siyo wewe uitumikie na kuwa ukiwa na amani na watu wote basi kila unachokihitaji unakipata tena bila garama na kwa moyo wa furaha.

Karibuni katika ufalme wa baba yangu ambapo tunanunua vya thamani bila pesa, tunapata kila hitaji la mioyo yetu bila kutoka jasho na hatimaye tuna uhakika na kesho yetu kwakuwa twaijua kabla haijatokea.
 
Kesho Jumamosi tarehe 10 Iyyar 5771, yaani tarehe 14 Mei 2011, Israe inaadhimisha miaka 63 ya kuzaliwa kwake. Mnamo tarehe14 May 1948 (5 Iyyar 5708), Waziri Mkuu wa Israel David Ben Gurion alisoma Tangazo la Uhuru wa Israel lijulikanalo Israeli Declaration of Independence (Kiyahudi huitwa, Hakhrazat HaAtzma'ut). Ben Gurion alitangaza rasmi kuzaliwa kwa taifa la Israel, ikiwa ni miaka mitatu tu tangu kumalizika kwa vita kuu ya pili ya dunia mwaka 1945.

Israel ni nini na nani hasa? Israel ni nchi, na Israel ni watu. Lugha yao ni Kiyahudi (lugha ya zamani huitwa Kiebrania). Neno au jina Yahudi latokana na neon Yudah au Yehudah, ambalo ni moja ya makabili halisi 12 ya watoto wa Yakobo au Israel. Yuda ni kabila ambalo baadaye, mwanzoni mwa utawala wa mfalme Rehoboam (mtoto wa mfalme Suleman), nchi ya Israel ilipogawanyika sehemu mbili, ilikuja kuwa dola. Kaskazini waliitwa Israel (ndiko walikokaa kabila kumi) na kusini waliitwa Yuda (ndiko kabila 2 za Yuda na Benyamini walikaa). Makao makuu ya Kaskazini yalikuwa mji wa Samaria, makao makuu ya kusini yalikuwa Yerusalem. Waliendelea hivyo (kuwa falme mbili) kwa karne nyingi. Pia neno/jina Yahudi ni utambulisho wa dini yao rasmi.

Duniani humu ni nchi au jamii chache sana zenye historia iliyo hai ya kuishi mfululizo (yaani bila kuangamia au kupotea) na kuwa na utambulisho wao. Tena katika historia, hakuna nchi (watu) iliyowahi kuchukuliwa nje ya mipaka yao na kubaki na utambulisho wao na kisha baadaye kurudi katika nchi yao ya asili na kuweka tena mizizi na kuchipuka. Israel walichukuliwa utumwani Ashuru (Syria zamani), walichukuliwa utumwani Babeli (Iran/Iraq) na baadaye kwa takriban miaka 1,900 walitawanywa kila pembe ya dunia tangua mwaka 70 A.D. (kufuatia Warumi kubomoa hekalu lao) hadi 1948.

Hivyo napenda kugusia kwa uchache sana jambo moja tu wakati huu wa kusherehekea miaka 63 ya kuzaliwa Taifa la Israel. Umuhimu wa Yerusalem kwa Israel. Ijulikane hapa kuwa MUNGU alipoichagua Israel kuwa nchi yake kadhalika aliichagua Yerusalem kuwa mji wake na makao yake. Hakuna nchi makini isiyo na mji mkuu (kitovu cha nchi). Israel na Yerusalem ni kitu kimoja, havitenganishiki wala kugawanyika. Yerusalem ni mji mkuu wa Israel milele. Amen.

Israel ina historia ya ajabu, ya kushangaza, kusikitisha, ya kusisimua na ya kipekee. Nawiwa kuwake dondoo zifuatazo:-
i) Ndio nchi au watu (kama jamii) ambao MUNGU aliwachagua na kujitambulisha kwao na kufanya nao maagano. Kwamba Yeye ni MUNGU wao, na wao ni watu wake na amewapa eneo husika la ardhi kuwa milki yao.

ii) Katika vita kuu ya Pili ya dunia, takwimu zinaonyesha Wayahudi milioni sita waliauwa. Tukio hilo lilikuwa ni moja ya chachu ya kuharakisha mchakato wa uundwaji taifa la Israel, ili Wayahudi wasiendelee kuuawa, kuwa wakimbizi wasio na matumaini ya kuiona nchi ya babu na baba zao.

iii) Israel ni nchi ya kidemokrasia, na Serikali yake huongozwa na Waziri Mkuu anayetokana na chama kilichoshinda uchaguzi. Benyamini Netanyahu ni WM wa 32 wa Israel. Bunge la Israel linaitwa Knesset. Pia Israel ina rais ambaye ni kiungo kati jamii na serikali yao. Inaundwa na majimbo nane kisha mikoa, wilaya na vijiji. Tofauti na jirani zake, Israel haina hazina ya mafuta, gesi au madini.

iv) Israel imestawi sana katikati ya uadui mwingi na vita toka kwa majirani zake na hata mbali ya mipaka yao. Ndio dola la kidemokrasia ya kweli Mashariki ya Kati (MK). Ndio dola lenye uchumi imara zaidi MK, Ndio dola lililoendelea zaidi kisayansi, kielimu, kiviwanda na kilimo MK. Ndio dola lenye nguvu kijeshi MK.
v) Kuelekea Vita ya Siku Sita – 1967 nchi za Kiarabu chini ya Abdel Nasser wwa Misri zilitaka kufunga ukurasa wa “historia” na “aibu” ya kushindwa vita ya 1948, zilizopelekea kuzaliwa taifa la Israel.

vi) Vita ya Siku Sita – 1967, Kiyahudi “Mil'hement sheshet Hayamim”, ilianza tar 5 Juni 1967 na kumalizika tar 10 Juni 1967. Tukio moja kubwa katika vita hiyo ni Israel kuukomboa mji wa Yerusalem na kuurudisha katika milki yake.

vii) Uhalali, msingi na utashi wa kuwepo kwa Israel na watu wake hautegemei maazimio ya UN, au America au maoni ya mataifa. Uhalali na msingi wake ni maagano MUNGU wao aliyofanya nao. Ndio maana kila tunaposherehekea kuazaliwa kwa Israel pia huadhimisha uwezo wa neno “Waache watu wangu waende”, ambalo Musa alimwambia Farao wa Misri.

Tukitaka kujifunza tuna mengi tunaweza kujfunza kwa Israel kama watu na kama nchi.

MUNGU IBARIKI ISRAEL! MUNGU WALINDE WATU WAKO ISRAEL!

Mkuu ahsante kwa kutukumbusha nilisahau kabisa kuwa ile siku imefika. "Barukh attah Adonai, melekh m'hulal batishbachot!". Happy Birthday Israel, Ephraim and God's own apple! May you continue to be strong and above all your enemies!:A S-rose:
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kweli ukipenda chongo huoni kengeza bali atadai hilo ndo jicho la mahaba..!! Pamoja na mateso yote wanayowafanyia majirani zao achilia mbali kuwaua, kuendelea kuimega ardhi yao kila siku ( rejea mipaka ya UN-1948) bado tu kunawatu insteady of kuombea wapatane na majirani zao bado wanaomba wazidishe uharamia wanaowafanyie wenzao...!! Kwa taarifa yako this world will never be fair if wayahudi wakiendelea na wanachokifanya sasahivi na anguko lao kuu linakaribia pindi watakapojaribu kuishambilia IRAN maana wameona baba zao US wanasita kuwaunga mkono sasa wanataka kujipeleka kichwa kichwa..!! Wamesahau mungu amekua akiwakanya kimatendo pindi wanapokosea na mapito yake huwa magumu kupindukia...!!! Kumbuka amani haipatikani kwa kuwatesa na kumgandamiza mwenzio bali ni kupandikiza chuki ya milele kwa vizazi na vizazi..!!:smow:

Hata Sadam Hussein naye tuliambiwa ni moto wa kuotea mbali, sasa hivi imebaki historia baada ya kunyofolewa shimoni kama panya! Ka-Osama nako kalifanikiwa kujificha kwa miaka 10 lakini nafsi yake ikaonja mauti na imebaki historia! Ahmedinejad naye atanyolewa kavu kama anavyonyolewa Dikteta Gadaffi sasa hivi, tutamsahau muda si mrefu! Hawa Wafilisti watajilaumu kwa kupoteza nafasi nyingi za kufikia amani na Israel kama walivyofanya Jordan na Egypt na badala yake wamekimbilia njia ya ugaidi!
 
ISRA-HELL

417459428_2a1506066f-300x231.jpg
images
brave_idf_soldier.jpg
images
imgres
 
MUNGU IBARIKI ISRAEL! MUNGU WALINDE WATU WAKO ISRAEL!

Huu ni ulimbukeni kwa kweli. Hivi wewe huna kabila au Taifa lako la kujivunia kiasi cha kufikia almost kukufuru? Au labda wewe na Ubantu na kipilipili chako unajiona ni kati ya hilo mythical "Taifa la Mungu la Waisraeli" unaowatukuza?
 
Hakuna anayeweza kubishana na nguvu ya Mungu wa hawa jamaa, hapo ndo mwisho wa mambo yote ni bora mtu ukubali ya ishe.
Ama kweli hapa duniani kuna mbwa na mbwa-koko, kama vile kuna wakristo na wakristo-koko! Sasa 'Mungu wa hawa jamaa' ndio nani huyo? Wewe ni mkristo wa madhehebu gani yenye mafunzo potofu?
 
Wauaji, makatili, wabaguzi. Hebu jaribu kuomba kujiunga kwenye dini yao kama watakubali. Thubutuuu. Tuondolee huu ujinga wako hapa.
 
Kuna watu wanaamini ukizaliwa mu-Israel tayari ni bora kuliko mtanzania, na kwamba hata ukitenda jambo baya basi hataaaa huna lawama maana wewe ni "chosen people!", acheni utumwa nyinyi!. yeoyote anayetenda wema na Kumwabudu Mwenyezi Mungu kwa dhati ni chosen people!, kuna watu mbalimbali wa Mataifa Mwenyezi Mungu anawatia nguvu kwa Malaika wenye nuru japo siyo Wana wa Israel.

Kuhusu akili, ni kweli inasemekana wayahudi wengi wana vipaji vya akili, lakini kuwa na akili na kuitumia vyema hivyo ni vitu tofauti. ukiwa na akili lakini ukatengeneza silaha za maangamizi ya binadamu kuna kitu cha kujivunia hapo?, ukiwa ana akili ukatengeneza virusi vya kudhuru viumbe maabara kuna cha kujivunia hapo?, ukiwa na akili lakini unamanipulate pesa kuna cha kujivunia hapo!. wapo wengi wamekuwa na akili na wametoa mchango mkubwa sana katika elimu na sayansi kuanzia Wagiriki, Wamisri, Waajemi, Wahindi, Waingereza.

Baadhi ya Watu wanaamini binadamu wenzao ni bora kuliko wao "by default ya kuzaliwa Mwisrael",hivi hawa wataweza kuitetea nchi yao pindi ikishambuliwa na Israel?.
 
Mbona marehemu Muhammad, mtume wa Waislamu, alikuwa mwizi, mbakaji, mzinzi, muuaji mithili ya mdogo wake, marehemu Osama, lakini kuna mijitu ipatayo 1.2bn inamfuata na kumwona kama "mtakatifu!" Waisraeli wana haki ya kujilinda dhidi ya ugaidi wa maadui zao! Kama kujilinda ndio ukatili basi na iwe hivyo! Rejea vita ya mwaka 1948, 1967 na 1972 na jaribio la magaidi wa Kipalestina la mwaka 1976 la kuteka ndege iliyojaa Wayahudi, pia Black September, 1972, intifada, 1988 na mabomu ya kujitoa muhanga yote haya yenye lengo la kuiangamiza Israel (Rejea maneno ya Ahmedinejad, Rais wa Iran)! Waarabu/Waislamu wanapenda kuonewa huruma juu ya suala la Wapalestina lakini ndani yao wamejaa hila mbaya sana dhidi ya UWEPO wa Israel na pia dhidi ya wasio waarabu/waislamu! Viva Israel!
 
Kuna watu wanaamini ukizaliwa mu-Israel tayari ni bora kuliko mtanzania, na kwamba hata ukitenda jambo baya basi hataaaa huna lawama maana wewe ni "chosen people!", acheni utumwa nyinyi!. yeoyote anayetenda wema na Kumwabudu Mwenyezi Mungu kwa dhati ni chosen people!, kuna watu mbalimbali wa Mataifa Mwenyezi Mungu anawatia nguvu kwa Malaika wenye nuru japo siyo Wana wa Israel.

Kuhusu akili, ni kweli inasemekana wayahudi wengi wana vipaji vya akili, lakini kuwa na akili na kuitumia vyema hivyo ni vitu tofauti. ukiwa na akili lakini ukatengeneza silaha za maangamizi ya binadamu kuna kitu cha kujivunia hapo?, ukiwa ana akili ukatengeneza virusi vya kudhuru viumbe maabara kuna cha kujivunia hapo?, ukiwa na akili lakini unamanipulate pesa kuna cha kujivunia hapo!. wapo wengi wamekuwa na akili na wametoa mchango mkubwa sana katika elimu na sayansi kuanzia Wagiriki, Wamisri, Waajemi, Wahindi, Waingereza.

Baadhi ya Watu wanaamini binadamu wenzao ni bora kuliko wao "by default ya kuzaliwa Mwisrael",hivi hawa wataweza kuitetea nchi yao pindi ikishambuliwa na Israel?.

Ukiacha kuamini kwamba marehemu Muhammad ambaye alikuwa mporaji wa mali za watu, mbakaji, mzinzi, nk kwamba ni mtume na mimi nitaacha kuamini kuwa "Israelis are the chosen people!"
 
Wakuu,

naona mumeanza kuleta udini na matusi katika hii thread.

There is need to be civil while exercising humility in your postings.
Having said that, this thread is being closed forthwith.

Have a good day.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom