Mayweather kashinda
Maywether ni bondia wa ngumi za kulipwa, kwahiyo kashinda pambano lake.
Kashinda bajaji la tigo?
Kweli hiyo a.k.a uliyompa ya Moneyweather ni stahiki yake kabisa, maana amelamba dala milioni 70 huku dogo akiambulia dala milion 10!
Siku atakayokubali kuzichapa na Pack yao na kumdunda ndo ntamkubali zaidi, maana nasikia anamkimbia kinoma
Wewe mwongo maywether katata dola mill 45.7 huku dogo akipata dola mill 6.4