Dah!
Hii kitu kutembea kwangu kote Tz na nchi za mbali sikuwahi kuipenda katu.
Au kwa kuwa sili mayai....yaani nikikuta chips ina mayonnaise, niko radhi nioshe chipsi moja moja na maji ndio nile lau nisile tu

Kweli kila mtu na choice yake.
Hata kuku, nyama, samaki sijui pweza ukisham-marinate na viungo tu, sili kabisa hiyo nyama japo mie kuwamarinate ili wenzangu wale naweza.
Nataka nyama ikitoka kuoshwa tu, iwekwe chumvi tu ndo ikaangwe, mambo ya sijui ndimu au thomu au tangawizi au sijui masala...hapana kabisa, tena naweza tapikia hukoooooo, sijuu nina nini ni tangu udogo wangu.
Inatengenezwa kwa mafuta ya kupikia..olive oil au mafuta ya alizeti double refined, mayai mabichi, vinegar na mustard!
.
.
Haipikwi. Kila kitu kibichi!