Maybe our Speaker never expected this

Spika anapaswa kufunzwa Diplomatic etiquette hasa anapokuwa ugenini...
He was not comfortable na treatment aliyopewa labda hakuitarajia (hakufanya preparations za kutosha)
Amepewa maua ameanza kuyashangaa badala ya kushukuru plus smile
Ameimbiwa wimbo wa Tanzania naye ameanza kuchukua kwa kisimu chake... as if hajui kuwa kwa level yake kila kitu kitarecordiwa...
View attachment 1172338

Nyani hata umlete dar es salaam, ukimwachia atakimbilia msituni tu, maana ndio kwake! Ushamba hali kadhalika
 
Ilikuwa wapi huko mkuu?

Ukiwaza heshima ya nchi hii, na hasa unaposikia wimbo huo; halafu uwaze tabia za mtu kama huyo akiliwakilisha taifa kama hili..., Aaah..."Tanzania Nakupenda kwa Moyo Wote."

Tutavuka tu.

Ndiyo maana tunasema NCHI KUTEGEMEA AINA HII YA VIONGOZI, "MAENDELEO KWA TANZANIA SAHAU KABISA"
 
Spika anapaswa kufunzwa Diplomatic etiquette hasa anapokuwa ugenini...
He was not comfortable na treatment aliyopewa labda hakuitarajia (hakufanya preparations za kutosha)
Amepewa maua ameanza kuyashangaa badala ya kushukuru plus smile
Ameimbiwa wimbo wa Tanzania naye ameanza kuchukua kwa kisimu chake... as if hajui kuwa kwa level yake kila kitu kitarecordiwa...
View attachment 1172338

kachukue jimbo mkuu. Unajua siasa na wana siasa wetu wengi walivyo?
 
Spika anapaswa kufunzwa Diplomatic etiquette hasa anapokuwa ugenini...
He was not comfortable na treatment aliyopewa labda hakuitarajia (hakufanya preparations za kutosha)
Amepewa maua ameanza kuyashangaa badala ya kushukuru plus smile
Ameimbiwa wimbo wa Tanzania naye ameanza kuchukua kwa kisimu chake... as if hajui kuwa kwa level yake kila kitu kitarecordiwa...
View attachment 1172338
Wimbo wa taifa ukiimbwa najua watu tunasimama kwa heshima na kutulia. Mbona yeye ndiyo anatoa kasimu na kuanza kurekodi? Si angeomba tu hiyo rekodi baadaye? Kasahau kwamba everything is recorded???
 
Nashawishika kuhoji umuhimu na matumizi ya hako ka clip anakoredi!
1. Atamtumia rais?
2. Ataonyesha bungeni?
3. Atamtumia mke wake ?
Hii ni kali ya 2019, hata Joti imemshinda!
 
Nashawishika kuhoji umuhimu na matumizi ya hako ka clip anakoredi!
1. Atamtumia rais?
2. Ataonyesha bungeni?
3. Atamtumia mke wake ?
Hii ni kali ya 2019, hata Joti imemshinda!
 
aisee,mbona ukiangalia video unagundua kabisa kwny maandishi yako ume over exaggerate sana vitu Mr Mshana??ndugai na crew nzima mbona walikuwa wamerelax na comfortable kabisa??video na maandishi ni vitu viwili tofauti,haikupaswa kuwa story hii,jf inataka kufanana na jalalani sasa
 
Weyeeeeee hahahahahahahahaha angekuwa BAK kafanya hivi angeshashushiwa BAN ya nguvu, lakini wengine mna ngekewa zenu humu.

Siju kwanini huu wimbo haukufanywa kuwa WIMBO WA TAIFA. Una hisia za ajabu na kila mahali nilipobahatika kuona unapigwa ugenini huwa sikosi watanzania wanaotokwa na machozi. Nina imani alikuwa ulimgusa akareact hivyo
 
Back
Top Bottom