Maybe our Speaker never expected this

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
129,971
Points
2,000

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
129,971 2,000
Spika anapaswa kufunzwa Diplomatic etiquette hasa anapokuwa ugenini...
He was not comfortable na treatment aliyopewa labda hakuitarajia (hakufanya preparations za kutosha)
Amepewa maua ameanza kuyashangaa badala ya kushukuru plus smile
Ameimbiwa wimbo wa Tanzania naye ameanza kuchukua kwa kisimu chake... as if hajui kuwa kwa level yake kila kitu kitarecordiwa...
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
6,784
Points
2,000

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
6,784 2,000
Spika anapaswa kufunzwa Diplomatic etiquette hasa unapokuwa ugenini...
He was not comfortable na treatment aliyopewa labda hakuhitarajia (hakufanya preparations za kutosha)
Amepewa maua ameanza kuyashangaa badala ya kushukuru plus smile
Ameumbiwa mwimbo wa Tanzania naye ameanza kuchukua kwa kisimu chake... as if hajui kuwa kwa level yake kila kitu kitarecordiwa...
View attachment 1172338
Ushamba usahamba ushamba, yaani kutembea kote huko duniani kila.mara bado hawajifunzi tu??

Utadhani Ngumbalo....hahahaaaa. Akili sijui zimeganda??
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
6,784
Points
2,000

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
6,784 2,000
Usikute hapo Wachina wenyewe hayo yoote ulioyaandika na kuyaona wewe wala hawakuyaona.

Acheni kufanya maisha yawe magumu zaidi ya yanavyopaswa kuwa, hata huyu Muzungu hayuko hivyo mnavyomdhania.
Linganisha hivyo vinanda , suxaphone na ile brass band ya ccm, wachina wanapiga vizuri kuliko wachumia tumbo.
 
mvuv

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
2,744
Points
2,000

mvuv

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
2,744 2,000
Spika anapaswa kufunzwa Diplomatic etiquette hasa anapokuwa ugenini...
He was not comfortable na treatment aliyopewa labda hakuhitarajia (hakufanya preparations za kutosha)
Amepewa maua ameanza kuyashangaa badala ya kushukuru plus smile
Ameimbiwa mwimbo wa Tanzania naye ameanza kuchukua kwa kisimu chake... as if hajui kuwa kwa level yake kila kitu kitarecordiwa... View attachment 1172338
hakuhitaraji = hakuitarajia
Mwimbo. = wimbo

Achana na spika jifunze lugha kwanza
 
mvuv

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
2,744
Points
2,000

mvuv

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
2,744 2,000
Usikute hapo Wachina wenyewe hayo yoote ulioyaandika na kuyaona wewe wala hawakuyaona.

Acheni kufanya maisha yawe magumu zaidi ya yanavyopaswa kuwa, hata huyu Muzungu hayuko hivyo mnavyomdhania.
Muzungu = Mzungu.
 
Forum statistics

Threads 1,380,809
Members 525,890
Posts 33,780,603
Top