Maybe our Speaker never expected this

Ilikuwa wapi huko mkuu?

Ukiwaza heshima ya nchi hii, na hasa unaposikia wimbo huo; halafu uwaze tabia za mtu kama huyo akiliwakilisha taifa kama hili..., Aaah..."Tanzania Nakupenda kwa Moyo Wote."

Tutavuka tu.
 
Usikute hapo Wachina wenyewe hayo yoote ulioyaandika na kuyaona wewe wala hawakuyaona.

Acheni kufanya maisha yawe magumu zaidi ya yanavyopaswa kuwa, hata huyu Muzungu hayuko hivyo mnavyomdhania.
Maisha magumu enzi za Magu kwa Praise Team? You are joking. Kwani Magu anashangaa vingapi? Kwa taarifa yako anajishangaa kwa kuwa analofanya ni kichefu chefu.
 
Afu ukiangalia vizuri hiyo simu anayotumia ni Tecno. Sijui alikuwa anamrekodia mke wake akamringishie? Hivi huyu ni wakutoka kabila gani? Ukute alikuwa anatembea na power bank ili simu isije kuzima akashindwa kuchukua video za kurusha WhatsApp. Yaani yeye kilichompeleka huko ni kwenda kuchukua vi clip clip tu vya kurusha Instagram ili ashindane na Mange
 
He was overwhelmed, labda ni wale wadada wanaopiga mwimbo wetu wa taifa au heshima na taadhima aliyopewa, who knows ?! 🤔 🤭
 
Spika anapaswa kufunzwa Diplomatic etiquette hasa anapokuwa ugenini...
He was not comfortable na treatment aliyopewa labda hakuitarajia (hakufanya preparations za kutosha)
Amepewa maua ameanza kuyashangaa badala ya kushukuru plus smile
Ameimbiwa wimbo wa Tanzania naye ameanza kuchukua kwa kisimu chake... as if hajui kuwa kwa level yake kila kitu kitarecordiwa...View attachment 1172338
Unakumbuka Zitto alisemaje kuhusu awamu hii?
 
Usikute hapo Wachina wenyewe hayo yoote ulioyaandika na kuyaona wewe wala hawakuyaona.

Acheni kufanya maisha yawe magumu zaidi ya yanavyopaswa kuwa, hata huyu Muzungu hayuko hivyo mnavyomdhania.
Mtatetea upumbavu hadi lini?
 
Spika anapaswa kufunzwa Diplomatic etiquette hasa anapokuwa ugenini...
He was not comfortable na treatment aliyopewa labda hakuitarajia (hakufanya preparations za kutosha)
Amepewa maua ameanza kuyashangaa badala ya kushukuru plus smile
Ameimbiwa wimbo wa Tanzania naye ameanza kuchukua kwa kisimu chake... as if hajui kuwa kwa level yake kila kitu kitarecordiwa...
View attachment 1172338

Kweli huyu mshamba kabisa
 
Kwa China cheo chochote ndani ya chama ama serikali ni cheo kikubwa sanaaa. Nina rafiki yangu mmoja alikuwa MNEC wa CCM walienda China kwenye semina, anasema walivopokelewa hakuweza kuamini. Tokea ndege imetua mpaka wamepanda ndege hawajagusa kitu labda wallet tu.
 
Back
Top Bottom