Maybe am to soft for it 🥺

Maybe am to soft for it 🥺

Especially wengi wao wanatoka mikoani, wengine wanakosa mpaka nauli za kurudia na watoto juu migongoni mwao trust me nashindwa hata kuwaangalia machoni ata nikisema niwasaidie my own company bado changa it doesn't generated enough revenue to pay a lot of people
At least basi hi company isingekua ina announce job position because people are coming from different diversities hoping to make their life better but at the end it's all a lie.
Kaelezea hapo walikua kwenye mchakato wa kuajiri vijana kwa company yao,
Interviewees wamejieleZa vizur na kujitetea haswa na wanaonyesha kua na potential,ila mwisho wa siku kuajiri boss wake kaleta watu tofauti kabisa ya waliofanya usaili.
Wapwa,binamu and the like,kwa kifupi ni undugulization bila kukidhi vigezo. Ndo kinachomuuma.
 
Mm ni miliki wa kampuni flan ila ni darasa la saba Sasa unadhani sote tulio na nafasi ya kusaidia watu Kama ww tunajua kidhungu.?
Mleta mada yeye hataki kazi , anafanya kazi sehemu anahurumia vijana wenye uwezo wa kifanya kazi ila hawapewi kazi, kazi wanapewa ndugu ambao hata hawakupita kwenye mchakato wa kuajiri.
 
Mademoiselle you have my ears and my full attention, kindly go ahead
I'm listening 🙏
Thanks for the permission. Irrespective of your Belief/ Religion, every stuff about Work/Carrier/Business..or lets say Economy, is mysteriously connected to our Faiths. For your case, its about your Career. You had a Vision, Hope and Expectation that something great is coming..but guess what 🥱...disappointment😐.

And the ugly fact is that your hope was on a mere human just like you. See..most of the times, we get disappointed most when we believe in our fellow humans most. Economy might be largely guided by the spiritual world and reflected in the physical world. (Thats my belief..I aint stating facts here).

So my advice is, connect Faith with your Career/Business/Proffession..the problems you see will eventually cease. We can disappoint you always but when you learn the secrets on how to prosper within your Faith then Life will be much more better.

NB: I invite you to Receive Jesus. HE can change your life buddy. Reflect upon this advice. Discern upon it and if it aint helpful..well..just discard it and chose what could suit you well. Sorry thou...
 
Mtanisamehe sana kwa uandishi mbovu
Lakini nipo Katika position ya kuwajili vijana wenzangu, napowafanyia dialogue assessment wengi wanastand their grounds wanafanya vzuri,

Each time i see deep inside their eyes , these people
These people went through a lot i can tell, wengine wanashindwa even to afford nauli , but at end wengi wao wamefanya vzuri lakini sura zinazokuja kuaoneka kwa Final pdf hata majina sijawai yaona

Kinachoumiza is to listen to these brave fighting soul , while deep down i know it's all a lie , a job position will be given to my boss nieces and nephews damn this world is not fair

Inshort Iam living my boss lies and this makes me feel bad about myself favoritism is a disease.
Hata mimi nimelia.. Inauma anayestahili haki kunyimwa unamnyima mtu haki wakati ndio ilikuwa tiketi ya mwisho ya maisha yake. Then unaenda mpa kazi mtoto wa uncle/auntie ambae hata kuapply hajaaply. Niliiona sana kwenye sensa.

Ila Iam living to see the Final Judgement to this fast spreading evil. Naamini silapumzika usingiz wa kifo mpaka nione malipo ya hawa wanyonge wakilipiwa. Niliumia na inauma inauma inauma.
 
Kaelezea hapo walikua kwenye mchakato wa kuajiri vijana kwa company yao,
Interviewees wamejieleZa vizur na kujitetea haswa na wanaonyesha kua na potential,ila mwisho wa siku kuajiri boss wake kaleta watu tofauti kabisa ya waliofanya usaili.
Wapwa,binamu and the like,kwa kifupi ni undugulization bila kukidhi vigezo. Ndo kinachomuuma.
Anaumwa huyo. Wewe upewe kitengo cha kuajiri halafu uwaache ndugu zako wanaokota siso kitaa na wana vyeti hata kama uwezo wao wa kaz ni dhaifu. Ukipata kitengo wape kazi ndugu zako. Siku umezidiwa wafanyakazi wenzio watafanya kwa nafasi yao ila yakiwazidi watasema "watafuteni ndugu zake". Nini maana ya kupata kitengo sasa kama unawaacha ndugu zako hohe hahe eti unafuata haki! Haki which? Hata mm ningeweka ndugu zangu.

Mtoa mada akae kwa kutulia
 
Pole sana na situation unayokumbana nayo.

Duh huku mtaani sio poah kwa kweli.
Wamama na wadada ndio wanaojua hali halisi ya vijana maana ndio wanaopika migahawa wanaoshinda majumbani.. Hali ni tete. Huyo kijana innocent mwenye njaa ya kufa akikutana na mwanamke mwovu mwenye mgahawa tayari keshamuua.

Hili likatizamwe. Tuachane na kiki zisizo na manufaa ya moja kwa moja au yoyote kwetu.
 
Dah , weep not child aliwai sema mwandishi mmoja mashuhuri

Yah baada ya hili tukio la Leo nmejifungia ndani , inside my room nmelia , i mean i cried a lot , i had to rethink my decisions

They say big boys don't cry ,but don't Big boys have hearts?

Or is it that I'm too soft for it?
But why do I believe myself to be one among these brave minds of this generation and yet feels so weak

I feel sorry for myself that Iam in this big living lie , i question

Je sikua ready for this big authority? I as well question it

I'll not disclose everything in this thread but surely i tell you people today it was one among these worst heart breaking moment for me , it really was i mean it broke my heart 💔

Iko ivi tunajua swala la ajira kwa vijana ni changamoto sana lakini kama kuna mwajili yoyote anaesoma hapa please be impartial, never entertain favoritism kwa hali yoyote Ile

Long story short ni kwamba vijana wanapambana sana msiwakatishe tamaa wapeni nafasi , msiwaforce wapate achievement kwa nguvu

This favoritism things kwenye taasisi za serikali Au private companies will never take us anywhere, I'll never look at my senior chief the same way ever again🥺
Punguza nyenyee
 
Punguza nyenyee
Kila mtu at a certain point tuliyewahi kumsikia kwenye historia/tunaemjua yuko juu kwa sasa ivi ili Kuendelea kua juu itadepend na maisha unayoishi la sivyo kushuka utashuka tuu.

Angalia hatua zako..!
 
Mkuu unabaka uzi..[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana mkuu. Huwa nakereka sana kuona mwanaume analia. Naweza nikamtia hata makofi alie vizuri. Mwanaume unalia! Ukundundu sana huu. Halafu sababu yenyewe kumbe boss wake kaajiri ndugu zake na waliostahiri kuajiriwa kawaacha. Anauaibisha uanaume wetu

Matraaacre yake.
 
Matraaacre huyu. Mwanaume unalialia! Kweli? Anauaibishq uananume wetu
KUna time ile naamka sina 10 ila mishe haziend hata kunywa chai alio andaa wife home asubh unaona aibu unaamua kutoka tu kimya kimya machozi yanavujia ndani ila usoni tabasamu unajipa moyo kwenda kupambana..Sasa kukaa kulia lia inasaidia nini??
 
Matraaacre tu huyu. Halafu kuna watu wanam backup. Mwanaume halii
 
KUna time ile naamka sina 10 ila mishe haziend hata kunywa chai alio andaa wife home asubh unaona aibu unaamua kutoka tu kimya kimya machozi yanavujia ndani ila usoni tabasamu unajipa moyo kwenda kupambana..Sasa kukaa kulia lia inasaidia nini??
Vimtu vya hivi ndio vimelelewa kwenye maisha ya kudekadeka ovyo ovyo tu. Siku kikikutana na shida kinaona ndio mwisho wa dunia. Hata kikikataliwa na mwanamke tu kinataka kujiua. Vimtu vya ovyo ovyo tu. Hivijui kuzaliwa mwanaume ni nini.
 
Especially wengi wao wanatoka mikoani, wengine wanakosa mpaka nauli za kurudia na watoto juu migongoni mwao trust me nashindwa hata kuwaangalia machoni ata nikisema niwasaidie my own company bado changa it doesn't generated enough revenue to pay a lot of people
At least basi hi company isingekua ina announce job position because people are coming from different diversities hoping to make their life better but at the end it's all a lie.
Exactly the point, naona wasiwe wanatangaza nafasi zao za kazi, especially kama wanajua kabisa zina wenyewe saabu ni usumbufu mkubwa sana, even emotionally.
Maana kuna ile pressure kuwazia akilini "ivi nilijibu vizuri kweli? Ntaitwa kazini kweli?"
Kucheki email mara kibao kumbe kuanzia mwanzo hukua na chako.
 
Anaumwa huyo. Wewe upewe kitengo cha kuajiri halafu uwaache ndugu zako wanaokota siso kitaa na wana vyeti hata kama uwezo wao wa kaz ni dhaifu. Ukipata kitengo wape kazi ndugu zako. Siku umezidiwa wafanyakazi wenzio watafanya kwa nafasi yao ila yakiwazidi watasema "watafuteni ndugu zake". Nini maana ya kupata kitengo sasa kama unawaacha ndugu zako hohe hahe eti unafuata haki! Haki which? Hata mm ningeweka ndugu zangu.

Mtoa mada akae kwa kutulia
Huoni hapo ni kuua polepole kampuni ikitokea unaweka hao ndugu bila vigezo?
Ukiweka ndugu atleast awe anajielewa sio kua na cheti tuu .maana wengi wanakua wazembe saabu wanajua uncle ndio Boss.
Ukitaka kupindisha mambo ni vizuri ukapita kune mstari kiaina sio tuu saabu ya undugu.. most likely mwisho wa siku they'll be your downfall.
 
Dah , weep not child aliwai sema mwandishi mmoja mashuhuri

Yah baada ya hili tukio la Leo nmejifungia ndani , inside my room nmelia , i mean i cried a lot , i had to rethink my decisions

They say big boys don't cry ,but don't Big boys have hearts?

Or is it that I'm too soft for it?
But why do I believe myself to be one among these brave minds of this generation and yet feels so weak

I feel sorry for myself that Iam in this big living lie , i question

Je sikua ready for this big authority? I as well question it

I'll not disclose everything in this thread but surely i tell you people today it was one among these worst heart breaking moment for me , it really was i mean it broke my heart 💔

Iko ivi tunajua swala la ajira kwa vijana ni changamoto sana lakini kama kuna mwajili yoyote anaesoma hapa please be impartial, never entertain favoritism kwa hali yoyote Ile

Long story short ni kwamba vijana wanapambana sana msiwakatishe tamaa wapeni nafasi , msiwaforce wapate achievement kwa nguvu

This favoritism things kwenye taasisi za serikali Au private companies will never take us anywhere, I'll never look at my senior chief the same way ever again🥺
Be cool 😎 ni kwamba the only thing is that to be humble..............

Ni weke wazi siku zote Huwa naitaji nafasi.....A chance....I will prove you wrongs for years...........

Kwenye maisha yangu nimeishi.... kupata nafasi ukinipa nafasi ever ujue I will prove you wrong.,.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom