Mebuttefly
Senior Member
- Feb 5, 2014
- 110
- 91
Mayai ya kuku wa kienyeji Yapo kwa wingi sasa.Trei moja lenye mayai 30 nauza elfu 15 tu.
MAWASILIANO : 0788-407407
MAWASILIANO : 0788-407407
Sawa mkuuNaona hajaludi na majibu
Akishindwa after 3month nakutafuta naweza Kuku kamilishia hiyo oda yako
Unaweza pata bila shaka.Naweza pata trei 70 kwa wiki ndan ya mwaka mzima?
Mkuu upo serious?Naweza pata trei 70 kwa wiki ndan ya mwaka mzima?