jaxonjohnson
Member
- Mar 20, 2018
- 25
- 8
Jamani msaada kwa anaejua bei ya mayai ya kisasa naomba anisaidie,nijue bei na yanapopatikana,nipo Pugu kajiungeni
Sogea Goms hapo. Maduka yapo mengi tu ya wauzaji wa jumla.Jamani msaada kwa anaejua bei ya mayai ya kisasa naomba anisaidie,nijue bei na yanapopatikana,nipo Pugu kajiungeni