Mayai ya kienyeji...

Psalm_23

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2026
Posts
1,781
Reaction score
3,200
Hellow Great Thinker...

Hivi ipi ni sahihi kati ya kusema toka nje au toka ndani, kama mtoto yumo ndani....
watalamu wa kiswahili karibuuuni
 
Akiwa ndani anataka kwenda nje maana yake 'anatoka ndani', akiwa nje anataka kuingia ndani maana yake 'anatoka nje'.
 
Kwa mtoto aliye ndani kauli ya " toka nje ndio ipo sahihi na ipo direct zaidi, kusema "toka ndani" inakuwa kama haijakamilika na inahitaji utambuzi ziadi wa anaye ambiwa Toka ndani"

"Toka ndani" inakamilika kama ikisemwa toka ndani umo, Ama iwe.. Toka ndani uje uku nje. Au kama ikisemwa kavukavu "Toka ndani" basi aliyeambia awe na utambuzi kuwa anatoka ndaniku kwenda nje.

Kwaiyo, TOKA NJE ndio ipo sahihi zaidi kuliko TOKA NDANI.
 
Kwa hiyo hicho ulichokiandika kibahusian vipi na mayai ya kienyeji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…