Kenge huyu huyu........au kenge Kori Bustard...........?................
Mbona hujibu maswali ya raia unayoulizawa??? Au unafanya jokes???
Ukiangalia kwenye profile yake hapo juu utaona location kwa babu wa lolionda, hayupo serious,.
Na mayai ya mjusi ni tiba ya ugonjwa gani vile kiongozi!?
Mmmhhh!! Kenge kweli wewe babu yako ndo kakudanganya hivyo?!
Kenge huyu huyu........au kenge Kori Bustard...........?................
Mimi ninayo ya popo ,ukichanganya na ya kenge haiongezi tu nguvu za kiume na umri wa kuishi pia huongezeka
hahaha sijui nini kimeniambia nipekue humu dah! Hatari sana