Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,529
- 59,567
Inawezekana mkuu? Hebu nipe nondo kidogoWafungie ndani ya Banda.
Nafuga kanga. mnyama yeyote ukimkondisheni anafata. kaka ni kiumbe rahisi kukielekeza.Ndugu zangu naomba msaada nimefuga kanga na kuku upande wa kuku hakuna tatizo ndipo nikaona nijiongeze kufuga kanga. Ni eneo kubwa sana wanapata chakula cha kutosha tatizo wanataga vichakani bila mimi kujua na kupata mayai ni shida, baada ya kufatilia sana nimepata sehemu wanayotagia na kufanikisha kupata mayai 60 lakini wanyama wamepitia mayai 35.
Hayo mayai nimeyauza maana nikiwawekea kuku wanatotoa mawili tu, msaada tafadhali kama kuna njia ya wao kutagia bandani
Inategemea na ulipo mi ntajibu swali moja. Ndio unaweza kufuga kanga na kuku pamoja ila kanga jogoo ni wakorofi wanadonoa sana kuku hadi kuvuja damu.Yai la kanga ni shilingi ngapi? Na vp wadau unaweza kufuga kanga na kuku kwenye banda moja? Na soko la kanga likoje? Kanga mkubwa anauzwa shilingi ngapi? Naomba kujuzwa na bei ya mayai ya bata bukini. Natanguliza shukrani
Ntakutafuta MkuuNatafuta mayai ya kanga Niko moshi..+255756761698