KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,569
- 21,078
hayaongezi nguvu za kiume? Kwa kuwa mimi ni impotence niuzie hayo mayai nikamdunge mimba mwanamke wa kwanza, nasikia eti amefika menopose
Usipotoshe watu bana........... Bundi hatagi, bali anazaa.............
Mtambuzi sasa naona umefika mahali pa kupotosha watu bila kutambua kwamba utambuzi wako hauko sahihi. Bundi anataga mayai bali popo ndiyo anayezaa.Usipotoshe watu bana........... Bundi hatagi, bali anazaa.............
Mtambuzi sasa naona umefika mahali pa kupotosha watu bila kutambua kwamba utambuzi wako hauko sahihi. Bundi anataga mayai bali popo ndiyo anayezaa.
Huyo babu yako alikuwa anasumbuliwa uroho na uchu wa kuhalalisha kubanjua dada zake!Marehemu babu yangu, nalikuwa fundi, alisema ukiona yai la bundi tu, baada ya miezi 3 LAZIMA uwe chizi, labda unanihii na dada'ako wa damu juu ya paa ya nyuba yenu mchana kweupee. We uliyaona lini? Oh mamma!

Marehemu babu yangu, nalikuwa fundi, alisema ukiona yai la bundi tu, baada ya miezi 3 LAZIMA uwe chizi, labda unanihii na dada'ako wa damu juu ya paa ya nyuba yenu mchana kweupee. We uliyaona lini?..

Dah! Story za utotoni hizi..nakumbuka nilipokuwa kijijini kwetu enzi zile tulikuwa kila jumamosi na jpili tunaenda msituni kusaka mayai ya bundi au kukamata ndege mbayuwayu. Tuliamini ukipata mayai ya Bundi ukayafukia kesho yake unakuta mahela kibao..na ukimkamata mbayuwayu ukamchinja nawe unachanja miguu yako kwa wembe unapaka damu yake ili uwe unapiga chenga sana mpirani. Lakini pamoja na kuyafanya yote hayo sikupata fedha wala sikuwahi kuchezea timu ya shule.

Elimu ndio ufunguo wa yote mkuu. Siyo mayai ya bundi au ushirikina wowote. Wengine wanafikia hata kuuwa watu sababu ya ushirikina ambao hauna maana. Kama mambo haya yanafaa ungeona timu za Africa ndio zinachukua kombe duniani. Ungeona Waafrika ndio matajiri na watu walofanikiwa duniani - lakini kinyume ndio ukweli. Mrudishie bundi mayai yake au usichukue tena kama ukiyakuta.
duuh! Hzo nguvu za giza na za mwanga ndo zp na zp?

Buhahahahah!mkuu umenichekesha sana,ila kumbuka dunia inatawalia na nguvu kuu mbili,za giza na mwanga.

Ulikosea,ungeenda kwa mtaalam babu ungefanikiwa,hata rupia inajulikana kwa kuleta utajiri,lakini ni lazima umpelekee mtaalamu.
NJOO kwangu rose1980 kama anakudunda huyo hakupendi, mi nakupenda sana wewe basi tu naonaga aibu kukuambia