Maya (diwani wa vijibweni) hili tatizo mpaka lini?

No SQL

JF-Expert Member
Nov 8, 2014
7,007
12,390
Hapa ni mtaa wa kidongoni kata ya vijibweni mtaa ambao maya wa jiji ndio diwani..maji yamejaa si tu barabarani bali hata majumbani kwetu kumejaa maji..tatizo kubwa ni ukuta uliojengwa na kuzuia mtaro wa maji uliokuwa ukipeleka maji baharini.

Jana alikuja mkuu wa wilaya kimya, sasa kwenda Kariakoo ni mpaka upitie feri ambapo ni gharama zaidi.

Jitahidi uje uturudishie mtaro wetu maisha yaendelee

DSC_0027.JPG
DSC_0029.JPG
 
Back
Top Bottom