May 2016 bless me with a husband!

Bado Sihitaji ndoa, sihitaji mapenzi, sihitaji mpenzi wala Mahusiano.. Nafurahia Maisha ninayoishi na kila siku nafurahi na kuomba niendelee kuwa single mpaka 2020

We si mpenzi wako alikua arabun au nakufananisha??
 
Yaani hii thread imekuwa kama yale makanisa ya kisanii...Mchungaji akisema wanaotaka ndoa wapite mbele............
 

Ushauri wa nguvu za giza. Yule Muovu! Shetani! Na kashakuteka.
 
Mwaka ujao swala la kutafuta mke nitaliweka pending kidogo maana ngoja nitafakari ya mwaka huu kisha nianze kwa kufikiria kutimiza malengo yangu kwanza vingine hivo vya mke vitanikutia njiani
 
Hivi ndoa dili kumbe? Wengine ni natural loners. We can preservere very well bila kubanana na mtu. Sijui itakuwaje!
 
Njoo PM kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…