Poleni wanajamvi, msaada kidogo kuna simu inaitwa maxon it is something new in the market, zipo models kama mbili hivi, ya kwanza ina RAM 2GB 32GB HDD na ya pili ina 1GB RAM 16GB HDD,plz kwa yeyote mwenye uzoefu na masuala ya simu atupie hapo jamani ili sisi tusiojua kitu tufunguke. Darasa huru likiongozwa na CHIEF MKWAWA tunaomba muongozo
chief mkwawa popote ulipo tunakuhitaji jamvini plz,kikubwa tunahitaji kujua inafanya online update na OS zake ziko vp yaan functions,quality,je inaweza kubeba game zito nakufanya rooting?niko more interested on gaming and movies