Matimbwi Stan
Member
- Mar 6, 2017
- 19
- 5
kiukweli shirika la MAXMALIPO linatakiwa lijitasimini kwa namna linavyoendesha biashara yake,
Sisi mawakala tumejitaidi Sana kutumia nguvu na akiri nyingi kulijenga soko, lakini kampuni ya MAXMALIPO inaliboma Soko kirahisi sana.mjitathimini jamani wapi mnaferi?
Sent using Jamii Forums mobile app