Maximo inatosha sasa!

Maximo inatosha sasa!

leo hii ameshakua mbaya?si tulimpokea kwa matarumbeta pale airport?
Ndo hivyo ndugu...
kama sisi tulivyokuwa tunamshangilia phiri pale airport kumbe alikuja kutuwekea rekodi ambayo haijawahi kutokea duniani ya timu kutoa sare mechi sita mfululizo....
 
We ngarna umelewa? Kwani mada ya hapa ni red card?
 
Inafungwa Barca,Bayern na timu zingine kubwa itakuja kuwa wafukuza upepo wa mgongo wazi?Acheni ujinga mkifungwa lazima mlete fujo .Mchezaji mjinga unampiga mtu kichwa usionyeshwe kadi nyekundu??

... na Simba haijashinda hata mechi moja lakini Phiri yupo tu anakula nchi!
 
Haijashinda na haijashindwa...!!! Mwache ale nchi
Ukifanya hesabu hii unaweza ukagundua kitu, fanya hivi; 3 zidisha kwa 6=18, halafu 18-6=12, then 12 gawanya kwa 3=4, hivyo tafsiri yake ni kwamba timu ya simba imepoteza michezo 4 kati ya michezo 6 iliyocheza....
 
Ndo hivyo ndugu...
kama sisi tulivyokuwa tunamshangilia phiri pale airport kumbe alikuja kutuwekea rekodi ambayo haijawahi kutokea duniani ya timu kutoa sare mechi sita mfululizo....

Mkuu usiishie kusema sare 6 tu! Sema hivi; michezo 6, sare 6, point 6, magoli ya kufunga 6, magoli ya kufungwa 6! Mnyama mnatishaaaaaa!!!
 
Ukimchekea nyani utavuna mabua, kajifunze maana ya maneno hayo.

Mi nilidhan wanaorudisha nyuma mpira wa Tanzania ni hao vilaza wanaoongoza! KUMBE HATA hao wanaojiita Great Thinkers?! Sasa hawa makocha mnawasakama baada ya mechi hozo chache, hamumuoni ALLAIN PARDEW wa Newcastle amevumiliwa sasa anafanya vizuri sana. Hivi kwani ni Watanzania ni wagumu sana kujifunza mazuri?
 
Tangu lini wachaga wakajua kiswahili mpaka ajue maana ya maneno hayo!!!!!!
Ila tu akumbuke kuwa ''CHA MLEVI HULIWA NA WAGEMA''
 
Mi nilidhan wanaorudisha nyuma mpira wa Tanzania ni hao vilaza wanaoongoza! KUMBE HATA hao wanaojiita Great Thinkers?! Sasa hawa makocha mnawasakama baada ya mechi hozo chache, hamumuoni ALLAIN PARDEW wa Newcastle amevumiliwa sasa anafanya vizuri sana. Hivi kwani ni Watanzania ni wagumu sana kujifunza mazuri?

Mkuu ligi ya Uingereza ni ndefu kwa vile ina timu nyingi kuliko ligi yetu ya kitoto. Si unafahamu kuwa msimu mzima kila timu inacheza mechi 26 tu! Raundi ya kwanza ina mechi 13 tu; tayari kila timu imecheza mechi 6 ambazo ni karibu nusu ya mechi zote za raundi ya kwanza na karibu robo ya mechi zote za msimu mzima.

Hadi hapo Phiri kapoteza pointi 12, Maximo pointi 8 na Omog pointi 8. Kwa trend hii unaweza kuona hatima ya hizi timu, usishangae kuona Simba au Yanga au Azam inashuka daraja. Ni vyema kuchukua hatua zitakazolaaniwa sana na wanaharakati lakini zitaepusha viama vinavyozinyemelea hizi timu. Wazungu wanasema 'Prevention is better than cure; ndiposa nasema ukimchekea nyani utavuna mabua!
 
Mi nilidhan wanaorudisha nyuma mpira wa Tanzania ni hao vilaza wanaoongoza! KUMBE HATA hao wanaojiita Great Thinkers?! Sasa hawa makocha mnawasakama baada ya mechi hozo chache, hamumuoni ALLAIN PARDEW wa Newcastle amevumiliwa sasa anafanya vizuri sana. Hivi kwani ni Watanzania ni wagumu sana kujifunza mazuri?
Hivi wewe unadhani yale matokeo mabaya ambao Newcastle waliyokuwa wanayapata yalikuwa yanawafurahisha fans wa newcastle!!!!!
 
Ukifanya hesabu hii unaweza ukagundua kitu, fanya hivi; 3 zidisha kwa 6=18, halafu 18-6=12, then 12 gawanya kwa 3=4, hivyo tafsiri yake ni kwamba timu ya simba imepoteza michezo 4 kati ya michezo 6 iliyocheza....

You are a well talented mathematician. Mathematics is not only manipulation of numbers but also right interpretation of those results. Keep it up Mkuu.
 
shida ya hizi timu ushindi mmoja tu unawasahaulisha machungu yote, Yanga na Stand hakuna aliyesema lakn ya Kagera ambayo inajulikana kwa Yanga tayari longolongo,&nbsp;<br><br>Ila tu niseme kwamba inaweza usione tofauti ya makocha wa kigeni kwa kutahmini wazawa na mechi &nbsp;walizocheza against wageni, Mecky akionesha mfanna akina Kabange/Ndanda/Minziro wakifuatia&nbsp;
 
Timu itakayorogwa kubadili kocha sasa haitafanya la maana zaidi ya hapo ilipo. Nawashauri Simba wenzangu watuliePhiri mwalimu mzuri isipokuwa kuna shida ndani ya klabu ambazo bila ya kutatuliwa hata aje nani klabu haitafanya vizuri
 
nimeongea na waandamizi wa timu shida yenyewe wanayoniambia eti uongozi haupo karibu na MAREFA!!!!
 
anajishughulisha lakn ukweli hasaidii timu
Hakika umeongea ukweli mkuu Amavubi,
kwa ujumla wale wahindi pale Jangwani wanaziba namba za wachezaji ambao wangeisadia yanga kuliko wale wabrazuka..
 
Back
Top Bottom