Maximo inatosha sasa!

Maximo inatosha sasa!

Hakika umeongea ukweli mkuu Amavubi,
kwa ujumla wale wahindi pale Jangwani wanaziba namba za wachezaji ambao wangeisadia yanga kuliko wale wabrazuka..
wabrazuka wanatafuta mbinu nje ya uwanja kwa kucheza na jukwaa zaidi (sappoti ya mashabiki), nilishasema mkuu kwamba kinachoigharimu Yanga ni kwa sababu wanacheza pungufu........yule Jaja anacheza namba tisa ya kizamani sana enzi akina Abeid Mziba, Makumbi Juma, Juma Kampala, Peter Tino, Adam Sabu etc za kusubiria mipira, hakabi anachosha tu wenzake, mechi ya Yanga nilishuhudia Yondani (ambaye naye anaelekea kuwa unga) akimfokea kabisa..........................huenda kuna kila sababu ya Ngassa kuacha kujituma siku hizi (kama haelekei kuwa unga na yeye)
 
Back
Top Bottom