Mimi huyu mtu nanona anatuharibia timu, kwanini anamng'ang'ania huyo Jaja wake, na kutukosesha ushindi,
asituletee ubishi wa kiscolari hapa! Inakuwaje Tegete kafunga magoli mawili mechi iliyopita, jana anamweka benchi!
muda anayopewa Jaja kucheza angepewa Tegete naamini Yanga ingekuwa mbali!Kama maximo wanachezeana samba na jaja ,hukohuko, wasituharibie Chama letu!
asipange timu kiupendeleo!