sir venance
Senior Member
- Oct 26, 2017
- 151
- 226
Wewe na huyo maxshimba wote akili zenu zinafanana.hebu weka matusi yake acha mzaha na wewe.... huyo jamaa niliwahimsoma humu jf sana yeye hatukani bali anachambua yaliyoandikwa kwenye vitabu vya dini hiyo... nilijaribu kufuatilia nikakuta ni kweli mtupu ni sawa na Yule Nabii Tito aliyokuwa akiyasema ni ya ukweli mtupu sema ujinga wa watu wakioneshwa ukweli hukasirika na kukuita unawatukana but vitabu ndio vimeandika maneno hayo why usikasirikie vitabu aliyeviandika? ukweli humuweka mtu huru...
Hapo ndio akili zetu zinapishana katika uelewa... mimi nipo huru kitambo sababu nilishaujua ukweli ... wewe bado endele kutishwa tu sijui kanisani au Msikitini ogopa peke yakoWewe na huyo maxshimba wote akili zenu zinafanana.
Lazima umtetee.
Nilitarajia ww mwenye akili tofauti na zao uta wajibu kwa hoja ambazo ni tofauti na zao.....umeishia kuwatoa akili/kuwa fananisha akili embu tujaribu kubishana kwa hoja.......ruksa kuniweka kwenye kundi la watu wenye akili zinazo fanana nao.Wewe na huyo maxshimba wote akili zenu zinafanana.
Lazima umtetee.
Max Shimba anaishi Marekani na Facebiok ni ya Wamarekani TCRA hawana uwezo wa kumfanya lolote.Pamoja na kwamba Mimi sio muislamu ila huyu jamaa anayejiita Max shimba ministry huko Facebook naona anadhalilisha sana dini,Mara nyingi hupost Mambo mbalimbali yanayochafua dini ya kiislamu,kwa kuandika matusi na kudhihaki watu mbali mbali ,je huyu jamaa haonekani na Tcra? achukuliwe hatua?
Sasa huku ndio TCRA?kama unakerwa nenda TCRA,tusibaki tu kutoa mipovu wakati unajua sehemu ya kutolea malalamiko tu mabingwa sana wa keyboard,unaona jambo linatokea badala ya kwenda sehemu husika unakimbilia JF,sio wote wanasoma JF usiwe kama yule kiongozi wa wavaa khaki aliyesema mtu anayetaka kujua sera za chama chake kipya akasome mtandaoni.Pamoja na kwamba Mimi sio muislamu ila huyu jamaa anayejiita Max shimba ministry huko Facebook naona anadhalilisha sana dini,Mara nyingi hupost Mambo mbalimbali yanayochafua dini ya kiislamu,kwa kuandika matusi na kudhihaki watu mbali mbali ,je huyu jamaa haonekani na Tcra? achukuliwe hatua?
Hoja gani haijajibiwa kwa hoja?Nilitarajia ww mwenye akili tofauti na zao uta wajibu kwa hoja ambazo ni tofauti na zao.....umeishia kuwatoa akili/kuwa fananisha akili embu tujaribu kubishana kwa hoja.......ruksa kuniweka kwenye kundi la watu wenye akili zinazo fanana nao.
Mkuu hakuna kafiri aichambue qur'an kisha abakie kuwa salama, hata wale ambao hujienza Qur'an kwa lengo aje auchafue uislam huwa wanaishia kusilimu,Max Shimba anaishi Marekani na Facebiok ni ya Wamarekani TCRA hawana uwezo wa kumfanya lolote.
Anayoyaandika Max Shimba kuhusu uislamu anayachambuwa kutoka kwenyd Quran yenyewe hivyo hakuna kashfa hapo zaidi y wewe kusumbuliwa na ushambenga.
Katoa mifano ambayo iko kwenye vitabu vitakatifu.........ukaishia kumfananisha akili zake na Max-Shimba.Hoja gani haijajibiwa kwa hoja?
Be specific please.
Katika uzi huu uliouanzisha hakuna hoja za Max Shimba zinazokashifu uislamu ulizoziweka,tutajadili na kujibu hoja gani wakati hoja zenyewe wewe uliyeanzisha thread hujaziweka.
Kafiri ni nani?Mkuu hakuna kafiri aichambue qur'an kisha abakie kuwa salama, hata wale ambao hujienza Qur'an kwa lengo aje auchafue uislam huwa wanaishia kusilimu,
Bado hujawaelewa tu?Kafiri ni nani?
Mwenzako anasoma na kuchambua wewe unakaririshwa na viongozi wako wa dini....ndio tofauti yenu ilipo.Pamoja na kwamba Mimi sio muislamu ila huyu jamaa anayejiita Max shimba ministry huko Facebook naona anadhalilisha sana dini,Mara nyingi hupost Mambo mbalimbali yanayochafua dini ya kiislamu,kwa kuandika matusi na kudhihaki watu mbali mbali ,je huyu jamaa haonekani na Tcra? achukuliwe hatua?
Hana uwezo wa kuchambua QuranMax shimba kawazidi hoja mnataka kukimbilia tcra
Jamaa anawachambua waislamu kwa quran na hadithi, hajawi kutukana wala kukashfu,
Anaandika kweli tupu.Ngoja nimtafute huko face book nione anachoandika.
Nenda kamripoti, tusipotezeane muda hapa.Pamoja na kwamba Mimi sio muislamu ila huyu jamaa anayejiita Max shimba ministry huko Facebook naona anadhalilisha sana dini,Mara nyingi hupost Mambo mbalimbali yanayochafua dini ya kiislamu,kwa kuandika matusi na kudhihaki watu mbali mbali ,je huyu jamaa haonekani na Tcra? achukuliwe hatua?