Max nzengeli atakaa nje wiki sita baada yakupata majeraha

kibaigwa finest

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2026
Posts
577
Reaction score
630
Taarifa hiyo imetolewa na kitengo Cha habari na mawasiliano Cha youngafricans kikiongozwa na Ally kamwe mapema asubuhi ya leo

So mashabiki wa yanga kazi ipo max nzengeli atakaa nje wiki sita.na Kama atakuwa hajapona Basi atafanyiwa upasuaji wa goti utakao mfanya akae nje msimu mzima

Ikumbukwe kuwa Maxi nzengeli aliumia kwenye mechi ya mwisho ya ligi dhidi ya kagera sugar
 
Taarifa hiyo imetolewa na kitengo Cha habari na mawasiliano Cha youngafricans kikiongozwa na Ally kamwe mapema asubuhi ya leo

So mashabiki wa yanga kazi ipo max nzengeli atakaa nje wiki sita.na Kama atakuwa hajapona Basi atafanyiwa upasuaji wa goti utakao mfanya akae nje msimu mzima
Aliumia lini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom