Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
This time ndo imetoka hiyo,kumbuka wakati ule hii sheria ya habari nas makosa ya mtandaoni ihaikuwepo.Jaribu na wewe uchemke upigwe pin halafu ukalie mahakamani kama utachomoka.Yaan ni uzembe mwingine juz serekali imeshindwa kesi mahakaman na gazeti la mwanahalisi ,serekali inadaiwa mamililio leo tena mawio limefungwa badae utashangaa tena serekali imeshindwa kesi wanadaiwa mamilion....Nape tuonee huruma na kod zetu
Huu ni uhuni ,ndo maana hata wamereka wemetunyima fedha za mcc.....ila gazet limefungwa kwa kutumia sheria ya magazetThis time ndo imetoka hiyo,kumbuka wakati ule hii sheria ya habari nas makosa ya mtandaoni ihaikuwepo.Jaribu na wewe uchemke upigwe pin halafu ukalie mahakamani kama utachomoka.